Kubagua Mwanza na Mbeya AFCON haikubaliki

Kubagua Mwanza na Mbeya AFCON haikubaliki

Kwa hiyo unataka kaniambia arusha hakuna ligi ya mkoa au ligi ya wilaya vijana wote wako mererani😁😁😁 umekariri ujinga sana ase na hata sasa hivi inaendelea chuga cup version ya ndondo cup ya dar na inaudhamini nenda Google search chuga cup...tuachane na hayo nitajie kijana mmoja wa dar aneyeanza first eleven ya yanga
Hadi uwanja upo, hayo mashindano mengi huwa wanacheza tu ili kutafuta joto waende wakaoge😃.
Maana bila kuchezacheza huwa wanaishia kuva masweta wiki mbili hadi mwezi😀.
Anyways, kama sasa hivi mmeanza kuamka na kuzingatia soka ni jambo jema sana, maana za ya ule mchezo wa kukimbia Arusha ilikua hauwasikii kwenye mchezo mwingine😃
 
Wasukuma nyie ni wajomba zangu ila acheni tabia ya kulialia kama watoto msione mji wa arusha unapendelewa arusha ni mji wa kawaida ila unafacilities nyingi san za kuaccomodate wageni,miundombinu,usafi mpango miji,hotels,barabara safi na kingine arusha na kilimanjaro ni kama mji mmoja hivo ni mikoa inawez share vingi kwa ukaribu
 
Back
Top Bottom