Umesema kweli lakini hii nchi sijui huwa inaongozwa na chuki na mihemko li nchi la ovyo takataka kabisa.Ni mikoa iliyokaa kistrategia pia kwa kuwa ni rahisi kupata mashabiki wa nchi jirani nyingi kwa gharama nafuu kiusafiri. Ni rahisi kuifikia Mwanza kwa mashabiki kutoka Uganda, Kenya, Rwanda, Burundi, Kongo DRC (upande wa Kaskazini Magharibi na hata baadhi ya maeneo ya Tanganyika Province), Sudani ya Kusini. Kadhalika ni rahisi kwa mashabiki kutoka Zambia, Malawi, Kongo DRC Mashariki, Zimbabwe, Msumbiji, Namibia, Botswana, na hata Afrika Kusini.
Wewe zombie au?Sasa Arusha na dodoma kuna mpira ,hakuna timu wala mashabiki
Huwa anaongeaga ukweli sometimes😀😀 Yaani mara hapendi Mwanza mara anaipenda na kuipambania! Arusha imesalitiwa tena leo!
Hiyo nayo ni moja wapo. Arusha ni jiji kubwa Africa. Miundombinu ni lazima iwepoUlitaka sgr ipite arusha ikafanye nini, au iwe inachukua watalii kutoka dar na kupeleka arusha?
mwana na mbeya hakuna hoteli nyingi za hadhiHii tabia ya kubagua Mikoa ya Mbeya na Mwanza kwenye mambo ya Maendeleo naona imeanza kukita mizizi.
Wakati mikoa mingine ikipendelewa sie Mwanza na Mbeya tumekuwa wahanga wa kutengwa na Kubaguliwa kwenye masuala mbalimbali ya kimaendeleo licha ya kuwa tunastahili kwa vigezo na sio kwa kuonewa huruma.
Haiwezekani na haiingii akilini eti kubagua miji hii maarufu kwa wanamichezo na badala yake wakaipendelea miji isiyo na mashabiki wala wanamichezo ya Arusha na Dodoma.
Nasisitiza tunadai haki yetu na sio favour kwa sababu zifuatazo;
Mwanza
- Mikoa wa pili kuchangia Pato la Taifa GDP baada ya Dar.
- Jiji la Pili kuwa na population kubwa baada ya Dar.
- Jiji la 3 Kuchangia Mapato ya Kikodi.
- Uwepo wa mashabiki wa kutosha na wanamichezo.
Mbeya
- Mikoa wa 3 kuchangia Pato la Taifa nyuma ya Dar na Mwanza.
- Jiji la 6 Kwa idadi ya watu Tanzania.
- Jiji la 2 Kwa Wanamichezo wengi kama timu za NBC&Championship.
- Pamoja na mtoto Wetu Songwe ni Mkoa wa 4 Kwa mapato ya Kikodi.
Kwa vigezo hivyo pekee tunastahili kupata kitu sio kwa upendeleo bali kwa haki.
Habari za kusema hakuna hoteli au miundombinu ya kisasa na blaa blaa kama hizo zinatokana na Serikali hii ya ccm kuchukua pesa na jasho letu kwenda kujenga Mikoa mingine kama Arusha, Dodoma, Tanga, Dar nk.
Ni aidha Serikali ianze ujenzi wa viwanja vya Kisasa kwenye miji yetu kutufuta machozi na sio lazima kwa ajili ya AFCON bali kutupa heshima yetu kwenye michezo au tumwage mboga 2025.
Hali hii haivumiliki na haikubaliki, ni wakati wa watu wa Kanda ya Ziwa na Nyanda za Juu Kusini kufanya jambo la kujitambua mwaka 2025 endapo wataziba maskio.
Ni bora kumwaga mboga sio kwa sababu tunawakubali Wapinzani bali ni kwa nia ya kukomoana kwamba tukose wote, tumechoka kutengwa na tabia hii ikiendelea ipo siku tutagawana fito.
View attachment 2766050View attachment 2766051View attachment 2766052
Angalizo: Haya ni maoni na mtizamo binafsi, yasichukuliwe kama uchochezi.Nachokonoa mada Kwa maslahi mapana ya Nchi hii na watu wa Mbeya na Mwanza.
Unataka tushangae ngedere na wamasai wa ngorongoro au nyumba za tope pale ungalimited na mitaa ya kaliba hiyo.Nashauri watu wa mikoa duni huko Mbeya na usukumani mtembee hata mfike kanda ya kaskazini mpate exposure kidogo mnaweza kupata maendeleo.
Watakuwa wanatumia kuchezea ndondo cup na kuhanikia mahindi.Unajenga uwanja Arusha na Dom baada ya Afcon atatumia nani wakati hawana mzuka na mpira?
Unazungumzia infrastructure gani ambazo arusha zipo na mwanza hamna? Au umejaa chuki zako.Arusha ni mji bora na uliondelea kuliko mwanza. na ni mji wenye infrastructures bora kuliko Mwanza na mbeya combined.
Mimi nilitamani iwe Arusha, Dar na Zanzibar. Hiyo mikoa mingine imekaa kushoto.
Utashangaa mengi bro. Sasa jiulize nyumba za tope hapo Unga ukitembea km 3 tu unakutana na five star hotels za kutisha Tanzania. Mbeya unaweza kukuta kitu kama hicho? Uniqueness nayo ni muhimu.Unataka tushangae ngedere na wamasai wa ngorongoro au nyumba za tope pale ungalimited na mitaa ya kaliba hiyo
Baada ya hayo mashindano huo uwanja utaenda kutumika kwenye nini hapo Arusha, mmezoea kujilimbikizia miradi kwa kutumia jasho la mikoa mingine.Toa mfano wa events ambazo Arusha haina.
Ule mji wanafaa waishi wahuni na watu waliokosa utu na ustaharabuKwanza kuna watu kutoka corners nyingine za Africa hawajawahi kuliona Ziwa Victoria, hii ingekuwa fursa kwao. Ingawa Arusha nayo inafaa kwa kuwa kuna vivutio wa watalii vingi.
Tatizo la Arusha nawahurumia wageni. Ule mji hauna adabu kabisa:umejaa wahuni, wasela mavi, wavuta bangi na wezi kama wote. A typically hooligan place! Wageni wetu wanaenda kuibiwa, kujeruhiwa, kupigwa vidole sehemu nyeti, kubakwa,n.k. MJI WA HOVYO SANA ULE!
Miundombinu gani ambayo Mwanza na mbeya hamna unaweza kutaja?Arusha haipendelewi licha ya kua haina team kwenye ligi lkn ina miundombinu bora ya kuweza kubeba wageni
Nyie nendeni mkalie madarasa, zahanati na barabara za changarawe za kupisha mazao kutoka shambani hii ligi achaneni nayo.Kama nyinyi mnabaguliwa na sisi wa Ruvuma, Mtwara na Lindi tusemeje?
Kuna muda plug huwa hazichomi😂😂😂😂😂Haya chini ni majibu ya Choisi variebo kuhusu mkoa wa Mwanza.
Uzi ulisema
MWANZA: Jiji la Pili kwa Ukubwa lakini halipewi hadhi yake
Yeye akajibu yafuatayo
...hayo yalikuwa kuhusu Mwanza. Ukishuka hapa chini, kuna uzi uliogusa maendeleo ya mbeya.... mada ......
3. Mbeya.
Huu mkoa nao ni miongoni mwa mikoa inayofaidika kwa kasi kupitia uongozi huu wa awamu ya tano. Kabla ya hapo mkoa huo ni kama vile ulikuwa umesahaulika kimtindo, maana hata miundo mbinu ya mkoa huo kwa upande wa barabara, shule, hospital nk vilikuwa hovyo
... alisema haya kuhusu wana wa Mbeya kufuatia hayo ya juu.....
Leo hii kaanzisha Uzi?? na Kudai wametengwa, wakati yeye akiwa wakwanza na nongwa na kuwanyanyasa wenyeji wa mikoa hiyo!!
Je anatafuta nini?