Nikifa MkeWangu Asiolewe
JF-Expert Member
- Feb 26, 2024
- 6,944
- 14,351
Wakuu kheri nyingi kwenu nyote.
Tuanzie hapa.
Miaka kadhaa iliyopita hapa kazini ulikuja uongozi mpya wa wazungu kuanzia ngazi ya gm,super hadi kwa foreman.
Hawa wazungu walikuwa wametoka Mataifa tofauti tofauti kama Canda,australia na ufilipino na hata indonesia nk.
Baada ya kuja basi walikaa wakasema hawa watu (africa) ni binadamu wenzetu hakuna haja ya kujitenga nao na kuwa tofauti nao itaonekana tunawabagua.Ni watu wazima wanajielewa haina maana ya sisi kuwa na sehemu yetu ya mabafu/choo na sehemu ya kuogea.
Kweli ikawa hivyo jamaa wakapewa sehemu za kuweka vitu vyao ni baadhi tu ya viongzi wakubwa hawakupewa mle maana wao mara nyingi zaidi huwa wanakuwa ofisini tu hawashuki( )
Hivyo wazungu walikuwa wengi sana kama wafanyakazi kwa makisio walikuwa kama 33.
Jambo la kusitikisha na kushangaza ni kwamba Tabia zetu nadhani huwa zipo kwenye Damu! Imagine mtu anajisadia haja kubwa ha flsh choo mzigo unakuwa juu ya sink asee.Mtu anaingia kukojoa anasimama mlangoni anakojoa ovyo kama kalewa.
Ukienda bafuni mtu katoka kwake na dodoki la sandarusi anaoga na kuliacha chini ovyo ovyo,Ukiacha taulo umeitundika basi utakaporudi utakuta mwenzio kafutia viatu vyake na kwenda zake!! Huko chooni mtu utakuta kaandika ukutani vitu vya ajabu ajabu.Ukumbuke kuwa waajiliwa wote ni kuanzia miaka 18+ hivyo hakuna mtoto.
Lakini yanayo fanyika hadi unakoswa jibu.Mkiwa kwenye foleni ya kutoka kazini watu wanasukumana utadhani ni watoto.
Basi hawa wazungu wakawa wanatuuliza hivi ninyi huwa mnamatatizo gani? Inawezekana vipi mpo foleni lakini bado mnasukamana?Huko chooni ilibidi HR wawatenge tu wakawa na wing yao na ukienda kucheki hapanuki na pasafi muda wote.Ingia kwa wabongo sasa mtu hadi kanyea pembeni imagine! tena unaweza kutana mtu sawa na mzee wako kabisa anatoka chumba fln cha choo ukiingia unakuta mzigo hadi unaona kinyaa na aibu kumita aje aflsh!
Enzi hizo tuna soma nilikuwa najua ni akili za kitoto watu kuandika chooni hii niliona nikawaida kwa kipindi hicho. Cha ajabu mtu anatoka kwakwe kaaga watoto wake anakuja kazini halafu anafanya ujinga ujinga.
Utupaji wa taka nao ni ovyo ovyo wakaona huenda hawa wana changamoto ya kusoma wengi wao hawajui kusoma maana taka huwa tunaweka kila taka sehemu yake
MFANO:- Nylon,mbao,chuma na palstik ngumu sehemu yake na pameandika .Ajabu ni kwamba mtu anaweka oili chafu humohumo vyakula nk kwenye pipa moja(bini)
Wakaona isiwe tabu wakaaandika kwa lugha zote wakapiga na picha kila bini/pipa likawa na maandishi na picha zake kabisa bado wakaona haitoshi wakayapaka rangi.
MFANO:- Njano,nyeusi,blue nk ili iwe rahisi kutofautisha na viongozi wakapita kila idara kutoa ufafanuzi wakapewa na nafasi ya kuuliza maswali wakauliza na kujibiwa na wakakili wameelewa lakini mambo ya kabaki ni yaleyale!!
Ieleweke kuwa hapa nazungmzia kila kabila la Tz lipo na tabia ni zilezile na baadhi ya mataifa ya waafrica yapo hapa zaidi ya 10 lakini tabiana za waafrica zinashaabiana kwa ukaribu sana.
Basi siku moja nilikuwa na offside expert mmoja hivi kutoka misri alikuwa mwislam pure kila muda dua.Alikuwa anatembea na kamzura fln hivi kama kanyagio zito ila kina picha ya mskiti.Hicho ndo alikuwq anatumia kutandika kisha kuanza kuomba dua zake.
Wakuu jamaa alitandika vzr kisha akaanza kuomba dua zake anainama hadi chini kama kawaida huku mimi ni kila msosi wangu ukumbuke hapo tupo Underground .Baada ya kumaliza dua akaanza kukunja mzura wake huwezi amini alikuwa katandika sehemu yenye mavi ya mtu.ajabu sana......Jamaa yule alitukana kiarabu kama dk3 bahati mbaya sikumuelewa alikuwa anasema nini alipotoka hapo alienda kukaa refuge chamber kwa muda sana.
Aliyejisaidia pale choo (portable toillet) ilikuwa mita kama saba ama kumi tu kuifikia lakini akaona ajisaidie hapo haijulikani alichambia nini!
(IPO SIKU NITALETA UZI KUELEZEA UNDERGROUND PALIVYO)
Kwa mifano hii watu wakitutenga na kutubagua kwanini tuwaone ni wabaguzi? Maana hizi tabia za ushenzi zimeshakuwa sehemu ya maisha yetu. Hawa jamaa wanajitahidi sana kuweka mazingira yetu sawa lakini ajabu ndo tunaharibu wala sio kwa bahati mbaya.
Waafrika tunashida gani?