Kubaguliwa kwa waafrika na watu weupe huenda sababu kuu ni Tabia zetu zilizo ndani ya damu zetu

Inasikitisha sana. Suala la usafi kwa waafrika ni somo gumu. Angalia tu mitaani palivyojaa mikojo tena wameenda mbali kukojolea chupa na kuzitupa ovyo ovyo
Nenda maofisini tra mahakamani hapo muhimbili sijui wapi uwanja wa mipira oyaa vyoo vya kina mama na baba aibu sijui watu wameviona maofisini yaani shida
 
Ubaguzi ni asili ambayo hata muafrika mwenyewe anayo,na siyo kwamba muafrika hambagui mzungu,ila muafrika kuna matunda anachuma kutoka kwa mzungu ndio maana anajifanya hambagui lakini mzungu angekuwa hana huo uwezo na huo akawa nao muafrika,basi mzungu na yeye angejuta kuwa mzungu.
Muafrika anauwezo wa kubagua muafrika mwenzake kwa sababu ya dini,kwa sababu ya kabila,kwa sababu ya mila,kwa sababu ya jinsia,mradi tu takataka kibao
Nakubali
 
Wakuu kheri nyingi kwenu nyote.

Tuanzie hapa.

Miaka kadhaa iliyopita hapa kazini ulikuja uongozi mpya wa wazungu kuanzia ngazi ya gm,super hadi kwa foreman.
Hawa wazungu walikuwa wametoka Mataifa tofauti tofauti kama Canda,australia na ufilipino na hata indonesia nk.

Baada ya kuja basi walikaa wakasema hawa watu (africa) ni binadamu wenzetu hakuna haja ya kujitenga nao na kuwa tofauti nao itaonekana tunawabagua.Ni watu wazima wanajielewa haina maana ya sisi kuwa na sehemu yetu ya mabafu/choo na sehemu ya kuogea.

Kweli ikawa hivyo jamaa wakapewa sehemu za kuweka vitu vyao ni baadhi tu ya viongzi wakubwa hawakupewa mle maana wao mara nyingi zaidi huwa wanakuwa ofisini tu hawashuki( )

Hivyo wazungu walikuwa wengi sana kama wafanyakazi kwa makisio walikuwa kama 33.

Jambo la kusitikisha na kushangaza ni kwamba Tabia zetu nadhani huwa zipo kwenye Damu! Imagine mtu anajisadia haja kubwa ha flsh choo mzigo unakuwa juu ya sink asee.Mtu anaingia kukojoa anasimama mlangoni anakojoa ovyo kama kalewa.

Ukienda bafuni mtu katoka kwake na dodoki la sandarusi anaoga na kuliacha chini ovyo ovyo,Ukiacha taulo umeitundika basi utakaporudi utakuta mwenzio kafutia viatu vyake na kwenda zake!! Huko chooni mtu utakuta kaandika ukutani vitu vya ajabu ajabu.Ukumbuke kuwa waajiliwa wote ni kuanzia miaka 18+ hivyo hakuna mtoto.

Lakini yanayo fanyika hadi unakoswa jibu.Mkiwa kwenye foleni ya kutoka kazini watu wanasukumana utadhani ni watoto.

Basi hawa wazungu wakawa wanatuuliza hivi ninyi huwa mnamatatizo gani? Inawezekana vipi mpo foleni lakini bado mnasukamana?Huko chooni ilibidi HR wawatenge tu wakawa na wing yao na ukienda kucheki hapanuki na pasafi muda wote.Ingia kwa wabongo sasa mtu hadi kanyea pembeni imagine! tena unaweza kutana mtu sawa na mzee wako kabisa anatoka chumba fln cha choo ukiingia unakuta mzigo hadi unaona kinyaa na aibu kumita aje aflsh!

Enzi hizo tuna soma nilikuwa najua ni akili za kitoto watu kuandika chooni hii niliona nikawaida kwa kipindi hicho. Cha ajabu mtu anatoka kwakwe kaaga watoto wake anakuja kazini halafu anafanya ujinga ujinga.

Utupaji wa taka nao ni ovyo ovyo wakaona huenda hawa wana changamoto ya kusoma wengi wao hawajui kusoma maana taka huwa tunaweka kila taka sehemu yake

MFANO:- Nylon,mbao,chuma na palstik ngumu sehemu yake na pameandika .Ajabu ni kwamba mtu anaweka oili chafu humohumo vyakula nk kwenye pipa moja(bini)

Wakaona isiwe tabu wakaaandika kwa lugha zote wakapiga na picha kila bini/pipa likawa na maandishi na picha zake kabisa bado wakaona haitoshi wakayapaka rangi.

MFANO:- Njano,nyeusi,blue nk ili iwe rahisi kutofautisha na viongozi wakapita kila idara kutoa ufafanuzi wakapewa na nafasi ya kuuliza maswali wakauliza na kujibiwa na wakakili wameelewa lakini mambo ya kabaki ni yaleyale!!

Ieleweke kuwa hapa nazungmzia kila kabila la Tz lipo na tabia ni zilezile na baadhi ya mataifa ya waafrica yapo hapa zaidi ya 10 lakini tabiana za waafrica zinashaabiana kwa ukaribu sana.

Basi siku moja nilikuwa na offside expert mmoja hivi kutoka misri alikuwa mwislam pure kila muda dua.Alikuwa anatembea na kamzura fln hivi kama kanyagio zito ila kina picha ya mskiti.Hicho ndo alikuwq anatumia kutandika kisha kuanza kuomba dua zake.

Wakuu jamaa alitandika vzr kisha akaanza kuomba dua zake anainama hadi chini kama kawaida huku mimi ni kila msosi wangu ukumbuke hapo tupo Underground .Baada ya kumaliza dua akaanza kukunja mzura wake huwezi amini alikuwa katandika sehemu yenye mavi ya mtu.ajabu sana......Jamaa yule alitukana kiarabu kama dk3 bahati mbaya sikumuelewa alikuwa anasema nini alipotoka hapo alienda kukaa refuge chamber kwa muda sana.

Aliyejisaidia pale choo (portable toillet) ilikuwa mita kama saba ama kumi tu kuifikia lakini akaona ajisaidie hapo haijulikani alichambia nini!

(IPO SIKU NITALETA UZI KUELEZEA UNDERGROUND PALIVYO)

Kwa mifano hii watu wakitutenga na kutubagua kwanini tuwaone ni wabaguzi? Maana hizi tabia za ushenzi zimeshakuwa sehemu ya maisha yetu. Hawa jamaa wanajitahidi sana kuweka mazingira yetu sawa lakini ajabu ndo tunaharibu wala sio kwa bahati mbaya.

Waafrika tunashida gani?

"Look at their mode of life and their lifestyle in general you can observe that Black people are born with the situation like an half mad mentality and mindsets."

Jan Smuts, a First Prime Minister of Union of South Africa.
 
weusi tuna shida kubwa sana vichwani mwetu. mtu anaweza akawa hata msomi lakini mambo anayofanya ni ajabu kabisa.

we fikiria

mtu anakukopa kwa ahadi atakulipa hlf ukìmrudia anakuzimia simu au hapokei simu

uwa naona kwenye izi lifti za maofisini we umefika kwenye lifti umekuta kuna watu pale wanasubiri lifti ije. lifti inakuja we unawapita wote na kujichomeka wa kwanza mbele utafikiri we ndo una haraka kuliko wote.
 
Africans(most of them) are still heathens.Hata hivyo;-
1-Hao wageni hawakuwa wote wazungu.Walichanganyika na mongloids/asians hao wafilipino,waindonesia na waarabu.
2-siyo mzula ni msala.
 
weusi tuna shida kubwa sana vichwani mwetu. mtu anaweza akawa hata msomi lakini mambo anayofanya ni ajabu kabisa.

we fikiria

mtu anakukopa kwa ahadi atakulipa hlf ukìmrudia anakuzimia simu au hapokei simu

uwa naona kwenye izi lifti za maofisini we umefika kwenye lifti umekuta kuna watu pale wanasubiri lifti ije. lifti inakuja we unawapita wote na kujichomeka wa kwanza mbele utafikiri we ndo una haraka kuliko wote.
Kunautofauti mkubwa sana kati ya wazungu na sisi mkuu
 
Wakuu kheri nyingi kwenu nyote.

Tuanzie hapa.

Miaka kadhaa iliyopita hapa kazini ulikuja uongozi mpya wa wazungu kuanzia ngazi ya gm,super hadi kwa foreman.
Hawa wazungu walikuwa wametoka Mataifa tofauti tofauti kama Canda,australia na ufilipino na hata indonesia nk.

Baada ya kuja basi walikaa wakasema hawa watu (africa) ni binadamu wenzetu hakuna haja ya kujitenga nao na kuwa tofauti nao itaonekana tunawabagua.Ni watu wazima wanajielewa haina maana ya sisi kuwa na sehemu yetu ya mabafu/choo na sehemu ya kuogea.

Kweli ikawa hivyo jamaa wakapewa sehemu za kuweka vitu vyao ni baadhi tu ya viongzi wakubwa hawakupewa mle maana wao mara nyingi zaidi huwa wanakuwa ofisini tu hawashuki( )

Hivyo wazungu walikuwa wengi sana kama wafanyakazi kwa makisio walikuwa kama 33.

Jambo la kusitikisha na kushangaza ni kwamba Tabia zetu nadhani huwa zipo kwenye Damu! Imagine mtu anajisadia haja kubwa ha flsh choo mzigo unakuwa juu ya sink asee.Mtu anaingia kukojoa anasimama mlangoni anakojoa ovyo kama kalewa.

Ukienda bafuni mtu katoka kwake na dodoki la sandarusi anaoga na kuliacha chini ovyo ovyo,Ukiacha taulo umeitundika basi utakaporudi utakuta mwenzio kafutia viatu vyake na kwenda zake!! Huko chooni mtu utakuta kaandika ukutani vitu vya ajabu ajabu.Ukumbuke kuwa waajiliwa wote ni kuanzia miaka 18+ hivyo hakuna mtoto.

Lakini yanayo fanyika hadi unakoswa jibu.Mkiwa kwenye foleni ya kutoka kazini watu wanasukumana utadhani ni watoto.

Basi hawa wazungu wakawa wanatuuliza hivi ninyi huwa mnamatatizo gani? Inawezekana vipi mpo foleni lakini bado mnasukamana?Huko chooni ilibidi HR wawatenge tu wakawa na wing yao na ukienda kucheki hapanuki na pasafi muda wote.Ingia kwa wabongo sasa mtu hadi kanyea pembeni imagine! tena unaweza kutana mtu sawa na mzee wako kabisa anatoka chumba fln cha choo ukiingia unakuta mzigo hadi unaona kinyaa na aibu kumita aje aflsh!

Enzi hizo tuna soma nilikuwa najua ni akili za kitoto watu kuandika chooni hii niliona nikawaida kwa kipindi hicho. Cha ajabu mtu anatoka kwakwe kaaga watoto wake anakuja kazini halafu anafanya ujinga ujinga.

Utupaji wa taka nao ni ovyo ovyo wakaona huenda hawa wana changamoto ya kusoma wengi wao hawajui kusoma maana taka huwa tunaweka kila taka sehemu yake

MFANO:- Nylon,mbao,chuma na palstik ngumu sehemu yake na pameandika .Ajabu ni kwamba mtu anaweka oili chafu humohumo vyakula nk kwenye pipa moja(bini)

Wakaona isiwe tabu wakaaandika kwa lugha zote wakapiga na picha kila bini/pipa likawa na maandishi na picha zake kabisa bado wakaona haitoshi wakayapaka rangi.

MFANO:- Njano,nyeusi,blue nk ili iwe rahisi kutofautisha na viongozi wakapita kila idara kutoa ufafanuzi wakapewa na nafasi ya kuuliza maswali wakauliza na kujibiwa na wakakili wameelewa lakini mambo ya kabaki ni yaleyale!!

Ieleweke kuwa hapa nazungmzia kila kabila la Tz lipo na tabia ni zilezile na baadhi ya mataifa ya waafrica yapo hapa zaidi ya 10 lakini tabiana za waafrica zinashaabiana kwa ukaribu sana.

Basi siku moja nilikuwa na offside expert mmoja hivi kutoka misri alikuwa mwislam pure kila muda dua.Alikuwa anatembea na kamzura fln hivi kama kanyagio zito ila kina picha ya mskiti.Hicho ndo alikuwq anatumia kutandika kisha kuanza kuomba dua zake.

Wakuu jamaa alitandika vzr kisha akaanza kuomba dua zake anainama hadi chini kama kawaida huku mimi ni kila msosi wangu ukumbuke hapo tupo Underground .Baada ya kumaliza dua akaanza kukunja mzura wake huwezi amini alikuwa katandika sehemu yenye mavi ya mtu.ajabu sana......Jamaa yule alitukana kiarabu kama dk3 bahati mbaya sikumuelewa alikuwa anasema nini alipotoka hapo alienda kukaa refuge chamber kwa muda sana.

Aliyejisaidia pale choo (portable toillet) ilikuwa mita kama saba ama kumi tu kuifikia lakini akaona ajisaidie hapo haijulikani alichambia nini!

(IPO SIKU NITALETA UZI KUELEZEA UNDERGROUND PALIVYO)

Kwa mifano hii watu wakitutenga na kutubagua kwanini tuwaone ni wabaguzi? Maana hizi tabia za ushenzi zimeshakuwa sehemu ya maisha yetu. Hawa jamaa wanajitahidi sana kuweka mazingira yetu sawa lakini ajabu ndo tunaharibu wala sio kwa bahati mbaya.

Waafrika tunashida gani?
Ustaarabu kwa mtu mweusi sio kipaumbele chake. Mazingira ni kipimo cha utimamu, angalia namna jamaa wanavyotunza mazingira yao na miji ilivyopangiliwa afu uje kwa mtu mweusi hata vile alivyobarikiwa havithamini na anaviharibu.

Tukubali tukatae mtu mweusi ana safari ndefu sana.
 
kuna ofisi tulikuwa tunashea choo na mainjinia flan wale jamaa walikuwa wachafu sana.

ilikuwa mkishakula chakula cha mchana kule chooni ilikuwa hakuendeki.

jamaa wanakunya kila sehem ovyoovyo na wala hawaflash. tena unakuta m. a.vi laini ya mtawanyiko yamesambaa kwenye sinki lote. nilikuwa nawaonea huruma sana wanaofanya safi kule vyooni aisee.
 
Waafrica choo kishakuwa cha watu zaidi ya 5 hakifai kwa afya tena!!
 
Back
Top Bottom