Kubaguliwa kwa waafrika na watu weupe huenda sababu kuu ni Tabia zetu zilizo ndani ya damu zetu

Nadhani tabia zetu pia zinawapa ugumu sana viongozi wenye nia ya dhati kuendeleza mataifa yao,..mwisho hao viongozi wanaamua kuendana na mdundo wa wananchi wao tu,....
 
Inawezekana
fikiria kwa mfano wamachinga kuuzia bidhaa zao bararani,..ujenzi wa makazi pembezoni mwa barabara au mabondeni kwenye mmafuriko,..sasa angalia reaction ya watu anapokuja kiongozi mwenye akili TIMAMU kuwatoa,...ndo utajua hatuna akili..mtu anakwambia unaemfukuza hapo ana familia ana ilisha, na yeye anaona hio ndo hoja ya kuzuia asiondolewe......
 
Kuna sehemu nilienda jamani wakuta mmama kabisa anatembea peku,

Basi usiombe kwenye sherehe mtu wali anaula kama ugali jamani

Ila sio wote wastaarab tupo.
Ukitaka kujua ustaarabu wako kaa kwenye watu wa mataifa tofauti tofauti na bara tofauti hapo ndo utaona ulivyo.

Kuna mwingereza alikuwa akikutana hata kifuniko cha chupa ya maji/soda anainama kukiokota na kuweka sehemu husika!! imagine sisi tunaweza? akiona karatasi hata yupo kwenye gari anashuka anaichukua.
 
Tunashida kubwa sana huu ndo ukweli
 
Na huko ndiko nilijifunza ustaraab sijalelewa tz
 
Bro hata black Americans pamoja na kukulia kwao kote Marekani ila tabia ni hizi hizi, nimekaa na hao jamaa almost 2 yrs ni hivyo tu kidogo wanaojitahidi ni wacomorro
Kuna siku nilijiuliza sana na kufikiri labda ni mateso ya enzi na enzi ndio yametufanya hivi.

Ila ukiwaangalia black Americans, wajamaica , black South Africans na watanzania wa kariakoo. Tabia hatupishani

Lugha huwa zimejaa matusi na hatuishi kwa mpangilio. Wizi wizi etc

Itabidi ifanyike research
 
Mkuu kuna muda huwa nakaa na angalia kwenye mabini jinsi watu wanavyo weka uchafu/taka nakoswa jibu. yaani bini zipo zaidi ya5 lakini inzyowekewa uchafu ni hiyohiyo moja hadi ina jaa na kumwagika.Wanahusika na kutupa hizi taka huwa nawaonea huruma sana ukienda kuangalia labda ma-bin mengine yamejaa ukifika yako empty.Na kwambia huwa sipati jibu kwanini iwe hivi kila siku?
 
Inawezekana hizi ndizo sababu kwanini tukawa weusi black kila kona hata ubongo una akili nyeusi
Clips unazoziona watu wanapigwa wengine ni wafnyakazi wa ndani , basi tambua kuna visa wanafanya ...Watu si vichaa kupiga watu , mtu akae huko miaka 4 then aanze kupigwa bila ya sababu .

Madogo hapa kitaa Tanga wanaletwa sana kutoka south wakiwa maiti , deep down wanafanya ujambazi na wizi.
 
Mm vacation ya sec nilienda znz na familia abt 3 weeks sikusikia tusi nilirud dar jioni asbh naenda duka kununua mahitaji napishana na mama ana mdera anamwambia mwanae we msenge kazana nikaona ustarab tz zero sijui muingiliano
 
Hao wa barabarani wakitolewa then uongozi ukikaa kimya wanarudi ...Wale mgambo wanakuwa harsh kwa hao jamaa kutokana hawaelewi.
 
Kama ni tabia waarabu wanaweza kuwa moja ya jamii yenye tabia za hovyo zaidi
 
Mm vacation ya sec nilienda znz na familia abt 3 weeks sikusikia tusi nilirud dar jioni asbh naenda duka kununua mahitaji napishana na mama ana mdera anamwambia mwanae we msenge kazana nikaona ustarab tz zero sijui muingiliano
Uswazi kuna matusi sana na ni ngumu mtu kutokuwa nayo mdomoni kwa sababu mtukanaji na mtukanwa wote wanaona kawaida.

Na kuna wengine wapo vizuri tu kichwani ila wakifika bar wanaanza kutukana wahudumu kwa matusi mazito
 
Inasikitisha sana
 
Sidahni kama ukoloni maana ingekua hivyo hata asins kama wahindi wangekuwa hivyo japo wahindi nao wengi wanatabia kama za kiafrika
 
Ubaguzi ni asili ambayo hata muafrika mwenyewe anayo,na siyo kwamba muafrika hambagui mzungu,ila muafrika kuna matunda anachuma kutoka kwa mzungu ndio maana anajifanya hambagui lakini mzungu angekuwa hana huo uwezo na huo akawa nao muafrika,basi mzungu na yeye angejuta kuwa mzungu.
Muafrika anauwezo wa kubagua muafrika mwenzake kwa sababu ya dini,kwa sababu ya kabila,kwa sababu ya mila,kwa sababu ya jinsia,mradi tu takataka kibao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…