Kubaguliwa kwa waafrika na watu weupe huenda sababu kuu ni Tabia zetu zilizo ndani ya damu zetu

Umesema sahihi 100% mtu anaenda canada miaka5 akirudi bado mjinga mjinga tu
 
Kuna kipindi niliwahi fanya kazi petrol station Total
kuna siku alikuja mhindi nikamjazia full tank gari yake akaomba aende washing room nikamuelekeza toilet..aisee alicha mzigo kama wa ng'ombe bila ku flash na maji yapo..nikaflash mara 3 mzigo ukagoma!!
 
Ni IQ ndogo tu, hebu fikiria, wewe pia ni mwafrica lakin mbona inaonekana unajitambua na umesikitishwa na mambo ya wenzio, ni malezi na uelewa mdogo.
 
We siyo mzima kichwani,
we hazimo kiachwani,
 
Daaah
 
Nilikuwa nafikiria tu labda Watanzania huko mgodini/kiwandani/plant kwenu wanalipwa ujira au maslahi madogo sana kiasi kwamba matendo wanayofanya ni reflection ya stress walizo nazo (ingawaje sio excuse)
 
kero sana
 
Mshahara sio sababu kabisa. je wewe unaweza kunya usisafishe kisa malipo kidogo?
 
Tuna asili ya ujinga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…