Kubaguliwa kwa waafrika na watu weupe huenda sababu kuu ni Tabia zetu zilizo ndani ya damu zetu

Kubaguliwa kwa waafrika na watu weupe huenda sababu kuu ni Tabia zetu zilizo ndani ya damu zetu

Hili ni kweli na tunatakiwa tubadilike sana

Nikiwa chuo, ukiingia chooni hukosi maandishi na masinki kupasuka. Nilikuwa napata shida sana kujua aina ya watu tuliokuwa pale chuoni na vile tunajiita wasomi

Huruma sana
 
Kuna watu wanaweza kufanya hivyo ndio na kwa sababu hiyo hiyo ya msongo uletwao na kunyanyaswa au kutokujaliwa...
huuu sasa ndo ujinga wa Mwafrika,...yani kukulipa kidogo ndo unye pembeni, au usiflashi?,,,...sasa kesho wewe utaenda kunya wapi?..au kwa kufanya hivyo ndo nitakuongeza mshahara kama mfanyakazi bora wa kunya pembeni?...au kunya pembeni ndo njia ya kudai HAKI?..🤔🤔🤔... WAAFRICA 🙌🙌
 
Kama uliwahi kuambiwa kuwa binadami ni wanyama, Sasa hao wanyama wanaozungumziwa ni waafrika.
huwa nasema kosa kubwa ni la mzungu,...alikuja africa akakuta viumbe havieleweki ni nini, ye akaviita waafrica na kuvilazimisha kuwa watu,..matokeo yake ndo haya,...miaka 60 ya uhuru hivi viumbe bado vinaimba "Nyumba ni choo" bado vinakula mavi mpaka vinaumwa KIPINDUPINDU....🚮🚮
 
Tatizo ni malezi na mazingira tunayo kuzwa nayo.
uko sahihi sana....angalia watoto wetu hawa,... mtoto anakula utafikiri anakimbizwa, ana matusi na kagomvi balaa....lakini mzazi wake anamwangalia tu na kujisemesha " mtoto mtundu huyu"...sasa litoto kama hili likikua unadhani litakuaje kama sio lishenzi tu!....
 
Hili ni kweli na tunatakiwa tubadilike sana

Nikiwa chuo, ukiingia chooni hukosi maandishi na masinki kupasuka. Nilikuwa napata shida sana kujua aina ya watu tuliokuwa pale chuoni na vile tunajiita wasomi

Huruma sana
Nkwa mbia waafrica popote wakikutana zaidi 50 basi mahala pale hata hujaambiwa utajua tu kuwa hapa kuna wazungu au waafrica huhitaji kuuliza kabsa
 
Nenda mwendokasi, si wanawake au wanaume wote hawataki kupanga foleni hapo ndio utaona kipimo Cha ustaarabu wetu.
Ushawahi enda bank mkuu? Unakuta kuna viti kabisa lakini itakulazimu usimame lisaa lizima foleni kwa sababu ukikaa basi atakayekuja ataenda moja kwa moja na kumuondoa hapo alipofikia bila msaada wa wahudumu wa hapo bank mnaweza kugombana sasa kuepusha hayo wewe simama tu kama mnyama maana hatuna ustaarabu.

Ajabu kwenye foleni za nida hadi tulikuwa tunapangwa na kusimamiwa na mgambo Imagine!!
 
Kuna siku nilijiuliza sana na kufikiri labda ni mateso ya enzi na enzi ndio yametufanya hivi.

Ila ukiwaangalia black Americans, wajamaica , black South Africans na watanzania wa kariakoo. Tabia hatupishani

Lugha huwa zimejaa matusi na hatuishi kwa mpangilio. Wizi wizi etc

Itabidi ifanyike research
lazima awepo asiyestaarabika ili aliyestaaribika aonekane.

tajiri yupo (anaonekana) kwa sababu kuna masikini
 
Wakuu kheri nyingi kwenu nyote.

Tuanzie hapa.

Miaka kadhaa iliyopita hapa kazini ulikuja uongozi mpya wa wazungu kuanzia ngazi ya gm,super hadi kwa foreman.
Hawa wazungu walikuwa wametoka Mataifa tofauti tofauti kama Canda,australia na ufilipino na hata indonesia nk.

Baada ya kuja basi walikaa wakasema hawa watu (africa) ni binadamu wenzetu hakuna haja ya kujitenga nao na kuwa tofauti nao itaonekana tunawabagua.Ni watu wazima wanajielewa haina maana ya sisi kuwa na sehemu yetu ya mabafu/choo na sehemu ya kuogea.

Kweli ikawa hivyo jamaa wakapewa sehemu za kuweka vitu vyao ni baadhi tu ya viongzi wakubwa hawakupewa mle maana wao mara nyingi zaidi huwa wanakuwa ofisini tu hawashuki( )

Hivyo wazungu walikuwa wengi sana kama wafanyakazi kwa makisio walikuwa kama 33.

Jambo la kusitikisha na kushangaza ni kwamba Tabia zetu nadhani huwa zipo kwenye Damu! Imagine mtu anajisadia haja kubwa ha flsh choo mzigo unakuwa juu ya sink asee.Mtu anaingia kukojoa anasimama mlangoni anakojoa ovyo kama kalewa.

Ukienda bafuni mtu katoka kwake na dodoki la sandarusi anaoga na kuliacha chini ovyo ovyo,Ukiacha taulo umeitundika basi utakaporudi utakuta mwenzio kafutia viatu vyake na kwenda zake!! Huko chooni mtu utakuta kaandika ukutani vitu vya ajabu ajabu.Ukumbuke kuwa waajiliwa wote ni kuanzia miaka 18+ hivyo hakuna mtoto.

Lakini yanayo fanyika hadi unakoswa jibu.Mkiwa kwenye foleni ya kutoka kazini watu wanasukumana utadhani ni watoto.

Basi hawa wazungu wakawa wanatuuliza hivi ninyi huwa mnamatatizo gani? Inawezekana vipi mpo foleni lakini bado mnasukamana?Huko chooni ilibidi HR wawatenge tu wakawa na wing yao na ukienda kucheki hapanuki na pasafi muda wote.Ingia kwa wabongo sasa mtu hadi kanyea pembeni imagine! tena unaweza kutana mtu sawa na mzee wako kabisa anatoka chumba fln cha choo ukiingia unakuta mzigo hadi unaona kinyaa na aibu kumita aje aflsh!


Enzi hizo tuna soma nilikuwa najua ni akili za kitoto watu kuandika chooni hii niliona nikawaida kwa kipindi hicho. Cha ajabu mtu anatoka kwakwe kaaga watoto wake anakuja kazini halafu anafanya ujinga ujinga.


Utupaji wa taka nao ni ovyo ovyo wakaona huenda hawa wana changamoto ya kusoma wengi wao hawajui kusoma maana taka huwa tunaweka kila taka sehemu yake

MFANO:- Nylon,mbao,chuma na palstik ngumu sehemu yake na pameandika .Ajabu ni kwamba mtu anaweka oili chafu humohumo vyakula nk kwenye pipa moja(bini)

Wakaona isiwe tabu wakaaandika kwa lugha zote wakapiga na picha kila bini/pipa likawa na maandishi na picha zake kabisa bado wakaona haitoshi wakayapaka rangi.

MFANO:- Njano,nyeusi,blue nk ili iwe rahisi kutofautisha na viongozi wakapita kila idara kutoa ufafanuzi wakapewa na nafasi ya kuuliza maswali wakauliza na kujibiwa na wakakili wameelewa lakini mambo ya kabaki ni yaleyale!!


Ieleweke kuwa hapa nazungmzia kila kabila la Tz lipo na tabia ni zilezile na baadhi ya mataifa ya waafrica yapo hapa zaidi ya 10 lakini tabiana za waafrica zinashaabiana kwa ukaribu sana.

Basi siku moja nilikuwa na offside expert mmoja hivi kutoka misri alikuwa mwislam pure kila muda dua.Alikuwa anatembea na kamzura fln hivi kama kanyagio zito ila kina picha ya mskiti.Hicho ndo alikuwq anatumia kutandika kisha kuanza kuomba dua zake.

Wakuu jamaa alitandika vzr kisha akaanza kuomba dua zake anainama hadi chini kama kawaida huku mimi ni kila msosi wangu ukumbuke hapo tupo Underground .Baada ya kumaliza dua akaanza kukunja mzura wake huwezi amini alikuwa katandika sehemu yenye mavi ya mtu.ajabu sana......Jamaa yule alitukana kiarabu kama dk3 bahati mbaya sikumuelewa alikuwa anasema nini alipotoka hapo alienda kukaa refuge chamber kwa muda sana.

Aliyejisaidia pale choo (portable toillet) ilikuwa mita kama saba ama kumi tu kuifikia lakini akaona ajisaidie hapo haijulikani alichambia nini!

(IPO SIKU NITALETA UZI KUELEZEA UNDERGROUND PALIVYO)


Kwa mifano hii watu wakitutenga na kutubagua kwanini tuwaone ni wabaguzi? Maana hizi tabia za ushenzi zimeshakuwa sehemu ya maisha yetu. Hawa jamaa wanajitahidi sana kuweka mazingira yetu sawa lakini ajabu ndo tunaharibu wala sio kwa bahati mbaya.



Waafrika tunashida gani?
Hivi hakuna Mwafrika mweupe?
 
Hakuna tabia iliyo ndani ya mtu, sababu binadamu ni adaptable creatures. Au viumbe tunaobadirika kuendana na mazingira. Watanzania na Waafrika wengi wako na tabia za hovyo sababu ya umasikini tu, pia ume-shape na tamaduni zetu. That's it. Siku tuki-advance kiuchumi basi hizo tabia nazo zitaondoka. Na kibaya huwezi ona uchafu wa hizo tabia kama umekulia mazingira hayo.

Proof ni tabia za tajiri na masikini kutoka hapahapa, ni tofauti kabisa.
 
Elimu haijatusaidia kuwa wastaarabu
Elimu sio factor ya ustaarabu. Ni mazingira na tamaduni. Hata uwe na PhD 3, kama ulikulia shamba basi utaishi kama mkulima na hautojua. Nadhani mazingira yana effect pia na consciousness level. Kuna watu ukiangalia wanavyoishi unaweza sema ni wanyama pori wanaoongozwa na instincts.
 
Kuna kipindi niliwahi fanya kazi petrol station Total
kuna siku alikuja mhindi nikamjazia full tank gari yake akaomba aende washing room nikamuelekeza toilet..aisee alicha mzigo kama wa ng'ombe bila ku flash na maji yapo..nikaflash mara 3 mzigo ukagoma!!
Kwaiyo wahindi nao hawana tofauti na sisi true sons of the soil?😆😆
 
MKUU wetu wa shule alienda ulaya kisha china, aliporudi alituambia "ni either sisi au wazungu", mmojawapo sio BINADAMU KABISA.....🥲
Kama ukiangalia ramani ya Dunia basi utaona Africa ndio the most isolated, haswa huku South. Europeans na Asians wametenganishwa na milima tu, hivyo ilikuwa rahisi kutengeneza muingiliano. Na factor mojawapo ya kutengeneza advanced civilization ni hiyo hapo. Ukijumlisha na ugumu wa mazingira yao, it make sense wao kuwa na advanced civilization zaidi ya Africa hasa kushuka South. Sio simple subject kama most wadhaniavyo.

Kinachonisikitisha zaidi ni huyo mwalimu wako kuja na conclusion weak namna hiyo juu ya the most complex topic kama hiyo. Eventually, na yeye ni walewale tu, na ana-fit hiyo description perfectly.
 
Kuna siku nilijiuliza sana na kufikiri labda ni mateso ya enzi na enzi ndio yametufanya hivi.

Ila ukiwaangalia black Americans, wajamaica , black South Africans na watanzania wa kariakoo. Tabia hatupishani

Lugha huwa zimejaa matusi na hatuishi kwa mpangilio. Wizi wizi etc

Itabidi ifanyike research
Jibu ni Mazingira na Umasikini. Hilo ndio jibu msingi.
 
Back
Top Bottom