Kubaka:msichana mwenye u18 aliye na mtoto

kibaravumba

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2012
Posts
6,634
Reaction score
7,015
Sheria ya kubaka inasema nini iwapo mwanaume atatembea na msichana mwenye umri chini ya miaka 18 lakini akiwa alishazaa na mtu mwingine(ambaye tuseme alimbaka na yuko gerezani kwa kosa la kubaka)

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
 
Kubakwa kunaweza kutafsiriwa kwa namna nyingi tofauti.

Mojawapo ni "mwanaume akikataa kuvaa mpira wa kiume na kumwingilia m'mke hata kama walikubaliana kula tunda". Hapo kutokukubali kukidhi hitaji la mwenza la kuvaa mpira linachukuliwa kama "kubaka". Pitia mashitaka ya ubakaji yanayomkabili jamaa wa wikileaks (Mr. JA).

Pia kama "tendo" lilifanyika kwa nguvu bila kujali umri hiyo ni ubakaji!

"If someone is raped, they are forced to have sex, usually by violence or threats of violence."

"Rape is the crime of forcing someone to have sex."
 
Sheria ya kubaka inasema nini iwapo mwanaume atatembea na msichana mwenye umri chini ya miaka 18 lakini akiwa alishazaa na mtu mwingine(ambaye tuseme alimbaka na yuko gerezani kwa kosa la kubaka)

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums

Kufanya mapenzi na mtoto chini ya miaka 18 ni ubakaji kisheria,
inakuwa pre assumed kuwa hana consent ya kukukubalia.
Haijalishi amezaa baada ya kubakwa kabla,au la!
 

If a husband can rape his wife under the ground of sex to be played with no wife's consent wether she is suffering, she feels not sex what about a mare defense of a girl had born whilst under 18 years old? A general rule pre assumes under 18 to have no conset unless you raise a defend of being had mislead by a herself over 18.An exption is only for married couples though is 15 old since there is a consent
 
Nyongeza ya hayo mkuu kumsaidia zaidi ni kwamba kasema mwanamke kufanya tendo la sex na msichana mwenye umri chini ya kumi nane lakini ana mtoto kutokana na kubakwa. Lile tendo la kuwa mtoto aliyetokana na kubakwa halimuondolei sifa ya kuwa chini ya miaka 18. kwanza umesema mtoto huyo alizaa kutokana na kubakwa. Kwa maana hiyo hakuzaa kwa hiari yake bali kwa kubakwa. Kwa hiyo bado anaendelea kuwa mtoto kisheria na endapo utafanya tendo la kulala naye bado utatiwa hatiani kwa kumbaka mtoto wa miaka chini ya 18

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…