Kubaka siyo hatia kwetu!!

Kubaka siyo hatia kwetu!!

KakaKiiza

JF-Expert Member
Joined
Feb 16, 2010
Posts
11,794
Reaction score
9,075
Tendo la kubaka katika baadhi ya makabila sijambo geni kwani ilikuwa ndiyo mila na desturi ya wakati ule nakwa hata vitabu vya dini vinaelezea!!jinsi walivyokuwa wakiwasubiri visimani nakuwabeba hadi vyumbani mwao!!
Kuna kabila ulikuwa ukimtaka msichana unavizia kwenye kichaka na ma baunsa wako kama ulikuwa uwezikumbeba na akishaingia ndani nikwamba umeoa,na awezikuolewa kwingineko kwani alijulikana used product! na wazazi wake walijua ikifika mpaka saa moja ajaja wanajua mwanetu kaishapata mwenzake!!hivyo wanasubiria kusikia ninani kabeba mzigo!!Husumbuki sijui bestbite subway nakwingineko no!Lakini kuna baadhi ya makabila bado wana tabia hiyo kama wamasai!
Ingekuwa huku mjini mbona watu wangevurugana!!
 
Nahisi hata kwa baadhi ya jamii za wahaya hii ki2 inaendelea kama kawaida
 
dah mjita umenikumbusha kikwetu kwetu usukumani kwenye chagulaga
ngoma ikiisha ukim maindi demu basi mtatoana mkuu mpaka umkamate
saluti babuuu
 
Mwanangu hiyo mbona cha mtoto,chagulaga yetu unamsubiri anatoka ngomani kisha wanaume mnakuwa kama 20 hivi(wanaitwa wapiga mbwa)na fimbo zenu, msichana akikatiza tu mnamuweka kati na kumwambia haya chagulaga,ole wake asichague atakoma siku hiyo kwa hiyo anachagua mwenyewe wa kwenda kumbaka na hakuna cha harusi wala nini.
 
mwanangu hiyo mbona cha mtoto,chagulaga yetu unamsubiri anatoka ngomani kisha wanaume mnakuwa kama 20 hivi(wanaitwa wapiga mbwa)na fimbo zenu, msichana akikatiza tu mnamuweka kati na kumwambia haya chagulaga,ole wake asichague atakoma siku hiyo kwa hiyo anachagua mwenyewe wa kwenda kumbaka na hakuna cha harusi wala nini.

halafu kuna moja hivi ya majita wangu wa kiluo
wao dem wanamvizia akienda labda kisimani au sokoni
basi atabebwa juu kwa juu mpaka home kwa msela
halafu anafungiwa ndani mpaka aji tune mwenyewe
 
huo siyo ubakaji kaka bali ndiyo mila zao za kuoa

hata kama ni mila naamini kuna utaratibu fulani wa kufuatwa na si kujitwika tu kasichana ka watu kienyeji huko machakani na kuondoka

hizo ni mila potofu=rape

nakubaliana nawe kama hakuna taratibu nzuri, muafaka na za wazi za namna mila hii inavyotekelezwa, basi it is as good as rape
 
Miss Judith kwani kwenu huwa wanafanyaje?
 
Mkuu hii ni kweli kabisa kwa wasukuma na inaitwa shagulaga mkema ukatole!
 
hizo ni mila potofu=rape

mila potofu kwako wewe unayejiita msomi,lakini kwa wasukuma ni mila nzuri sana!!.Inawezekana hata bibi yako aliolewa kwa njia kama hile!!lazina tudumishe mila na desturi zetu!!
 
Mnajua mwanamke aliyebakwa anahisi emotional pain ya kiasi gani au tunajisemea kirahisi rahisi tu?

emotional pain Unaweka pembeni unakula painkiller yanaisha unatazama familia mkuu!!Kiukweli hayo mambo yamepitwa na wakatikwa watu wengi wameelimika kimawazo hata wale ambao awajaenda shule!!
 
wachaga wanaita kutafura hiyo,kuna kipindi walikuwa wanaenda vizia mabinti kwenye shule za bweni na kutaka kutafura bila kujali wanatoka kabila gani,hahahahahahaa,wachaga bwana
 
wachaga wanaita kutafura hiyo,

We shosti mbona unatusingizia??Mi hiyo sijawahi kusikia kabisa!Ila kuna moja ilikua mshkaji akiwa anapendana na msichana ambae ni ngumu kumpata (tofauti ya familia anayotoka na ya msichana) anamteka anampeleka kwake(hamna kufanya nae mapenzi) alafu taarifa inapelekwa kwa wazazi wa binti kwamba mtoto wao amewekwa ndani...hapo inakua ngumu kukataa mahari!!Kama nimekosea nakaribishwa kurekebishwa!
 
wachaga wanaita kutafura hiyo,kuna kipindi walikuwa wanaenda vizia mabinti kwenye shule za bweni na kutaka kutafura bila kujali wanatoka kabila gani,hahahahahahaa,wachaga bwana

Napiga picha akilini Mchaga anaenda kumtafura Mngoni.
 
We shosti mbona unatusingizia??Mi hiyo sijawahi kusikia kabisa!Ila kuna moja ilikua mshkaji akiwa anapendana na msichana ambae ni ngumu kumpata (tofauti ya familia anayotoka na ya msichana) anamteka anampeleka kwake(hamna kufanya nae mapenzi) alafu taarifa inapelekwa kwa wazazi wa binti kwamba mtoto wao amewekwa ndani...hapo inakua ngumu kukataa mahari!!Kama nimekosea nakaribishwa kurekebishwa!
lizzy mpenzi nimesingizia nini sasa,hilo jina au hawatafuri,na ile ya kumteka bint halafu mnaenda funga mbuzi nje ya nyumba ya bint inaitwaje mpenzi
 
Back
Top Bottom