mwisho kafulila alifuta kauli hiyo na akaendelea kuchangia. back 2 mjadala. neno baka katika kiswahili ni ingilia mtu bila ridhaa yake. so mh. aliposema kijijini walikuwa wanabaka panzi alikuwa anataka kuhalalalisha 2 kauli yake. watu wanapaswa kusema wanakamata panzi na si wanabaka panzi.hivyo kwa maoni yangu kafulila alikosea ingawa kiti huwa kinaona makosa ya wapinzani 2.