Kubaka

Kubaka

MIGNON

JF-Expert Member
Joined
Nov 23, 2009
Posts
4,108
Reaction score
5,110
Jana nilkuwa nasikiliza online radio na Kafulila akachafua hali ya hewa kwa kutumia neno kubaka bahati mtandao ukawa dhaifu na sikuweza kuelewa mwisho wa malumbano na kiti.
Naomba tulijadili hili neno ili kuona kuwa ni sahihi kutumika au ni umbumbu wa busara za kiti.
Naomba kutoa hoja.
 
mwisho kafulila alifuta kauli hiyo na akaendelea kuchangia. back 2 mjadala. neno baka katika kiswahili ni ingilia mtu bila ridhaa yake. so mh. aliposema kijijini walikuwa wanabaka panzi alikuwa anataka kuhalalalisha 2 kauli yake. watu wanapaswa kusema wanakamata panzi na si wanabaka panzi.hivyo kwa maoni yangu kafulila alikosea ingawa kiti huwa kinaona makosa ya wapinzani 2.
 
Back
Top Bottom