demigod
JF-Expert Member
- Jan 2, 2015
- 8,292
- 15,250
Baada ya mabingwa wa ligikuu kutangaza kubaki na Moloko huku Yacouba Sogne na Chico Ushindi kupewa mkono wa kwaheri, ni dhahiri sasa Prof Nabi amekusudia kumtumia Stephane Aziz Ki atakuwa akitumika zaidi kama namba 10.
Nafasi ambayo alikuwa akiicheza feisal salumu mara kwa mara.
Ni dhahiri kuwa kuanzia msimu ujao patakuwa na vita kubwa sana ya eneo la kiungo.
Dr Aucho. Babu Kaju. Fei Toto pamoja na Yanick.
Hapatatosha kwakweli.
Aidha kuondoka kwa Chico Ushindi kulitazamiwa na wengi lakini pia hakuna aliyetarajia kama Yacouba Sogne angeweza kuondoka wakati huu. Taarifa zinasema Sogne alipitia majeraha ambayo yasingeweza kumuwezesha kucheza mpira consistance pasi na kurudi kwenye tiba.
Kwa kheri Yacouba, Pia tunashukuru kwa Zawadi uliyo tuachia.