kubakwa hospitalini?

kasyabone tall

JF-Expert Member
Joined
Sep 13, 2009
Posts
254
Reaction score
63

Kuna siku nilipokuwa nasikiliza redio kituo kimoja cha kidini pale dar walikuwa wanajadili kuhusu kubakwa kwa wanawake mahospitalini wanapotibiwa.Wanawake wengi kwa njia ya simu na bila kutaja majina walishuhudia kuwahi kubakwa na wakaamua kuchuna kwa kulinda ndoa zao. HII ILIKUWA NI KIPINDI KILE YULE MAMA ALIYEKUWA ANATOA MIMBA PALE MUHUMBILI ALIPOBAKWA.
Lengo ni kutaka kujua kwa watu wengine mnafahamu hili jambo na kwa kiasi gani?

 
Mi ndio maana nina mkataba wa mke wangu. Ni lazima atibiwe na daktari wa kike. Period!
 
Wanawake wa tanzania linapokuja suala la kubakwa hawana ubavu wa kuzungumza kabisa sijui kwa nini???????
 
Basi kama ni kweli wanapenda iweje wakae kimya si wanafurahia?? kama sivyo kwa nini wasikate then wawashitaki??
 
sio wanapenda tu wanona utamu pia ndio maana hawasemi.it doesnt make sense eti unabakwa na dokta then unakaa kimya kulinda ndoa yako
 
Kwa hospitali zenye ulinzi duni kama Muhimbili ambako vichaa wanazunguka mawodini hovyo, mgonjwa anaweza hata akabakwa na kichaa.

Na najua mtu akibakwa na kichaa lazima auchune maana ni aibu zaidi kuliko kubakwa na mwenye akili timamu ambaye unaweza kumtishia kabla hajakubaka kuwa utamsema afukuzwe kazi.
 
Kubakwa sio aibu.......
Kubaka ndio aibu.........
Tubadilike watanzania ili tuwasaidie wanawake wetu.
 
sio wanapenda tu wanona utamu pia ndio maana hawasemi.it doesnt make sense eti unabakwa na dokta then unakaa kimya kulinda ndoa yako
Hawapendi hata kidogo ila wanalinda ndoa kweli kutokana na mfumo dume ktk nchi za kiafrica we mwenyewe mkeo akibakwa utamtaka tena? au unajishaua tu hapa ni asilimia ndogo sana ya watu wanakubaliana na hali hiyo, Ujue hili siyo masihara mf mke wa mweshimiwa mmoja alibanchuluwa na dr wake mpaka leo imebaki historia ya ndoa
 
Duuu du du du! Kwakweli nikioa Mke wangu atakuwa anatibiwa mbele ya macho yangu. Nitahakikisha anatoa maelezo kwa Daktari nikiwepo na Daktari anatoa Prescription yake nikiwepo. Akibakwa atake mwenyewe kwa muda wake.

Hii kali kwakweli. Madaktari mna matatizo gani jamani.Au mmekuwa Sokwe?Si muwaombe tu wawakubali wenyewe?

Kama hamjui how to ask that thing ombeni msaada mtapata toka kwa watalaamu wapo humu humu jamii forum.

Madaktari mbarikiwe sana kwa kuacha tabia hiyo.

Asalam Alleykhm.
 
Hamna anayefurahia kubakwa,utackiaje utamu bila kujiandaa? Hata ukiw a tu na mpenzi wako lazima mjiandae la cvyo hamtaenjoy. Sema na serikali yetu itilie mkazo,maana mtu wa kesi ya kubaka-unashangaa unaambiwa ulitaka mwenyewe na ndiyo maana watu hawasemi kwa kuogopa aibu mtaani. Ila wanaume jamani!! acheni kubaka ni aibu na ni ukatili!!
 

Wapenzi kubakana ni exitement sio kila siku kujilaza siku nyingine unatoroka hata job chapu unapata ka 1 unarudi ofisini saaafi
 
Mbona wanawake hawajitokezi kuchangia hili ili tujue ukweli wenyewe na jinsi dk mbakaji anavyoanza manjonjo ya kubaka ili tuwawekee mitego tuwakamate live ili tabia hii ikome
 
hivi kuna sheria zinazowalinda wanawake Tanzania??
ningependa kujua hili kwanza...
 
hivi kuna sheria zinazowalinda wanawake Tanzania??
ningependa kujua hili kwanza...

@Afrodenzi Nadhani sheria zipo kwani kosa la kubaka lina hukumu yake sina hakika miaka mingapi ila jamii inabidi kuwalinda wakina mama. Inastaabisha kama waganguzi (Madaktari) kweli hushiriki kwenye uovu huu wa kubaka mama zao, dada zao na watu wa jinsia hii. Kweli kutoa huduma ni wito na nchi hii itakuwa inaelekea kubaya.
 
Wakati mnaambiwa muwasindikize wake zenu clinic mnakataa, halafu hapa mnashangaa nini? Si hata yule Dr. wa Marie Stop ana kesi ya kubaka - eti alikuwa anampima kwa kutumia ultrasound. Pia kuna wanawake wanapenda kwenda hospitali kushikwa shikwa na madokta, dawa yao ni kuwasindikiza na kuingia kote ambako anatakiwa kuingia!

Je, haya mazingira ya kubakwa yanakuwa wakati gani na wapi? Wodini? Chumba cha daktari? Theatre? Maabara? Labour room? Na huko kote hakuna wagonjwa wengine wanaosubiri huduma?
 
Wanawake wa tanzania linapokuja suala la kubakwa hawana ubavu wa kuzungumza kabisa sijui kwa nini???????
Wahanga wengi hawapewi sapoti kuishinda hali hiyo.... na wengi huishia kuachwa!! ndo maana nchi zilizoendelea... mke hapewi huduma bila mume kuwepo ndani au mme kuona kupitia CCTV!!
 
basi kama ni kweli wanapenda iweje wakae kimya si wanafurahia?? Kama sivyo kwa nini wasikate then wawashitaki??

If rape is inevitable why not enjoy the rape! Mpe na kondom
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…