kasyabone tall
JF-Expert Member
- Sep 13, 2009
- 254
- 63
Kuna siku nilipokuwa nasikiliza redio kituo kimoja cha kidini pale dar walikuwa wanajadili kuhusu kubakwa kwa wanawake mahospitalini wanapotibiwa.Wanawake wengi kwa njia ya simu na bila kutaja majina walishuhudia kuwahi kubakwa na wakaamua kuchuna kwa kulinda ndoa zao. HII ILIKUWA NI KIPINDI KILE YULE MAMA ALIYEKUWA ANATOA MIMBA PALE MUHUMBILI ALIPOBAKWA.
Lengo ni kutaka kujua kwa watu wengine mnafahamu hili jambo na kwa kiasi gani?