Kubakwa na kuteswa kwa Muchwezi Agather Atuahire, Je Bahima Empire/Wachwezi kulipa kisasi?

Kubakwa na kuteswa kwa Muchwezi Agather Atuahire, Je Bahima Empire/Wachwezi kulipa kisasi?

Lord Denning

JF-Expert Member
Joined
Jun 3, 2015
Posts
23,491
Reaction score
57,973
Baada ya tuhuma nzito za Mwanaharakati wa Uganda Agather Atuahire kubakwa na kuteswa na vyombo vya Ulinzi vya Tanzania, Je tutarajie nini kinachofuata?

Ikumbukwe Jamii ya Wachwezi ambayo inaunda Bahima Empire ina imani kama za watoto wa Ibrahim(Wana Israel) kuwa ukimfanyia mmoja wetu hivi basi lazima tulipe kisasi kwa kuwafanyia vile.

Je tutarajie Wachwezi kulipa kisasi?

Cc. Muhoozi Kainerugaba
 
Bachwezi na Genz wa Uganda hawana muda wa kulipa kisasi wao wenyewe juzi tu wametangaza kumshughulia M7 kwa hyo iman kwahy mizimu yao ipo busy sana
 
Back
Top Bottom