Kubali ama kataa, ukweli ni kwamba kwa hapa Tanzania mtu asiyejua Kiingereza hajaelimika

Kuna muda ukitulia vizuri na kutafakari jambo kabla haujaandika haya yote utaishia kughairi kabisa. Najua unaposti kwakuwa una " time" au hata umetaka watu wabishanie hii mada yako.

Kama kweli umeitoa kwa akili zako timamu ,I swear kuna tatizo mahali, chuki zako binafsi unazimalizia kwenye paragraph ya mwisho ya maandishi yako.
Putin hajui Kiingereza, na nina uhakika hana hata muunganiko mzuri wa Sentensi za English, unamuona na yeye ni popoma kama jinsi ambavyo watu wenye IQ zakuototeza wanafanya?.

Ungesema mapema ya kwamba unamchukia Jiwe, mimi ningekubali kwakuwa ni mtazamo wako. Na hata kama ungetoa hoja zako zenye mashiko kuhusu utawala mbovu wa Jiwe ningepitia na kujua kama kulikuwa na sehemu ya kukubaliana na wewe ningekubali tu. Stop being silly, simama kama mwanaume tetea hoja zako kwa maandiko yenye mashiko. Jf should never be a damping site to store litter


Kujua kiingereza sio kipimo cha akili. It is only illogical of you to think being wise has anything to do with knowing the English Language.
Silenzio Bruno
 
ukweli mchungu ni kwamba, kuelimika atakuwa ameelimika, ila hatakuja kuwa na ujasiri wa kuexpress elimu yake. hapo ndio maumivu.
Ataelimika vipi wakati elimu inatolewa kwa lugha inayompiga chenga?
 
Sababu ni kutaka ujumbe uwafikie watu wengi zaidi. Upo hapo?

Soma mada zangu zikizobandikwa kwa kiingereza ujifunze misamiati na uandishi bora kwa lugha hiyo
My suggestion is, you should translate this thread into English in order to show us the example.

Also, next time use both English and Swahili so as all speakers (English and Swahili) can understand the message.

To me, I always judge as I'm beginner English learner because I learned this language in Tanzania, taught by Tanzanian teachers. In so doing, my English cannot be the same as Americans or people from UK.

Remember, Swahili is active in Tanzania. Only few Tanzanians speak English from morning to evening, may be those students who study at boarding schools, especially medium or international schools.
 
Wewe ni mpumbavu na ndio maana upo hivyo ulivyo!
 
Lengo lako la uzi lilikuwa hapa

"Jiwe ndiye aliyekuwa na uelewa mdogo kuliko marais wote waliopita ktk taifa hili. Hakuna alichokuwa anakifahamu zaidi ya ubabe. Maana kwenye maisha yake alichojifunza na kukielewa vema ni ubabe wa kuswaga ng'ombe."
 
Magufuli shujaa wetu unataka kumfananisha na hao wajinga na wasiojielewa kama wewe?
Rest in power Magufuli!
 
utin hajui Kiingereza, na nina uhakika hana hata muunganiko mzuri wa Sentensi za English, unamuona na yeye ni popoma kama jinsi ambavyo watu wenye IQ zakuototeza wanafanya?.
Wewe naye umekurupuka usituchoshe. Majibu ya hiki kioja chako umepewa para ya tatu kwenye mada yangu
 
Sexless, Ngoja nikusaidie ku "summarize". Hii thread nzima ni Emotional Hype za kuokoteza + High degree of Lunacy
 
Wewe naye umekurupuka usituchoshe. Majibu ya hiki kioja chako umepewa para ya tatu kwenye mada yangu
Mbona comments za kingereza unazikwepa unajibu za waswahili wenzio hebu tutafsirie hii Sexless πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡ kamaanisha nini.

Ila humu ww Sexless JF umegeuza kama kijiwe cha kuuzia kahawa, bingwa wa kuuza chai aka Chupli Chupli mara uwe mwanaume mara mwanamke. So mpaka hapo we mwenyewe jinsia yako huijui,so anza kuijua jinsia yako then ufuatile hicho kingereza chako.

Haya Sexless tutafsiri hapo nasi tujue.
 
Kwani ile inshu yako ya kutafuta mchumba wa kiume imeishia wapi? Maana naona leo tena umekuja na kingereza.
 
Kiingereza hiki sikijibu kwasabb ni Cha kiwango Cha chini mno. Sentensi hazina hazina vionjo ziko plain mno. Kiingereza Cha darasa la tatu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…