Kubali ama kataa, ukweli ni kwamba kwa hapa Tanzania mtu asiyejua Kiingereza hajaelimika

Wapo wengi mkuu Wana makampuni ya
- kusaga na kuuza nafaka
-kusindika matunda
-kusindika asali
--kusindika mafuta ya alizeti na mawese
-kutengeneza Pedi, n.k
 
Tangawizi uranium cooperate!! TUCO. Musoma mitaa ya kamunyonge!
 
FROM NOW ON WARDS WRITE IN ENGLISH!! THOUGH I KNOW THERE ARE MANY DWELLERS WHO DON'T KNOW SWAHILI!!!!

QUICKLY RUSH TO ENGLISH FORUM P/EASE!
Nilijikuna kisogo, kisha nikapitisha kidole kwenye pachupachu za uke wa binti mrembo. Akaguna guna na kuonesha shybaku imemfikisha mahala pake.
TAFSIRI KWA KINGEREZA cha necta.
 

傻逼
 
Wapo wengi mkuu Wana makampuni ya
- kusaga na kuuza nafaka
-kusindika matunda
-kusindika asali
--kusindika mafuta ya alizeti na mawese
-kutengeneza Pedi, n.k
Ndio hayo sita nilio orodhesha ? basi utakuwa mgonjwa wewe.
 
Nilijikuna kisogo, kisha nikapitisha kidole kwenye pachupachu za uke wa binti mrembo. Akaguna guna na kuonesha shybaku imemfikisha mahala pake.
TAFSIRI KWA KINGEREZA cha necta.
Hey! nigga from da Bush hoo! much u gonna pay me fo4 dis primitive nasty job jargon am gonna do????!
 
Hujui maana ya kuelimika
 
Watanzania wengi wamesoma hadi form four lakini Kingereza za mawasiliano hawakijui hasa waliosoma shule za serikali ni majanga. Wachache sana wanakijua hasa wale waliosoma English medium na private schools.

Kwahiyo kwa mada yako hii jiandae kupingwa kwa nguvu zote! But ukweli usemwe, huwezi kuelewa content kwa kiwango kizuri halafu lugha inayotumika kukupa hiyo content huijui vizuri, haya ni maajabu yanayopatikana Tanzania tu.
 
Acha kuwadanganya watu wewe, aliwezaje kukariri zile kilometa na miji yote ya Tanzania hii. Bora ukalale tu. Hauna uelewa wowote. Kuna watu wanajua hesabu na kiingereza hawakijui.
 
Nilijikuna kisogo, kisha nikapitisha kidole kwenye pachupachu za uke wa binti mrembo. Akaguna guna na kuonesha shybaku imemfikisha mahala pake.
TAFSIRI KWA KINGEREZA cha necta.
I scratched my nape, then penetrated a finger to the vulva of female genitalia of a cute girl. She groaned in a flaunting manner indicating climax of pleasure.
 
Asante sana mkuu kwa kuujua ukweli na kunitia moyo.
 
Thank you for the chance;

I am really appreciate being here...
 
Thank you for the chance;

I am really appreciate being here...
Kiingereza cha wabongo wengi huwa ni kibovu namna hii. Halafu mtu aniambie mtu kama huyu kaelimika!!! Hapana.
 
Asante kwa clip hii. Muda wake ameutumia kwa kufikiria misamiati gani aiweke kwenye sentensi zake badala ya kufikiria atoe hoja gani yenye kusaidia kuijenga Tanzania na dunia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…