Tangantika
JF-Expert Member
- Aug 12, 2018
- 5,586
- 7,087
Mkuu unauhakika kuwa pachu pachu ndio vulva ?I scratched my nape, then penetrated a finger to the vulva of female genitalia of a cute girl. She groaned in a flaunting manner indicating climax of pleasure.
Mtoa mada smedunda, ameokoteza maneno ya hovyo hovyo na kuafsiri.Hey! nigga from da Bush hoo! much u gonna pay me fo4 dis primitive nasty job jargon am gonna do????!
I scratched my nape, then penetrated a finger to the vulva of female genitalia of a cute girl. She groaned in a flaunting manner indicating climax of pleasure.
Kiswahili chako kigumu. Hiyo pachu pachu nimebuni tu hata siijuiMkuu unauhakika kuwa pachu pachu ndio vulva ?
Kwa kiasi fulani alituswaga kwa kweli, kama ng'ombe, ukiwa mkaidi, unachinjwa!Kuna uhusiano wa moja kwa moja kati ya kuelimika na kujua kiingereza hapa nchini kwetu. Kwasabb lugha yetu ya kufundishia ni kiingereza.
Hivyo ili mtu aweze kuipata elimu kwa kiwango kikubwa lazima aifahamu vema lugha ya kiingereza maana ndiyo iliyobeba taarifa zote zinazotakiwa na mwanafunzi. Kama mwanafunzi atakuwa hajui kiingereza ni dhahiri.kwamba kuna kitu atakikosa.
Wachina, wajapani na warusi wanatumia lugha zao kufundishia ndiyo maana wao kiingereza hakina umuhimu kwenye kuelimika.
Baba wa taifa JK alikifahamu vema kiingereza ndiyo maana aliweza kukitumia kupigania Uhuru wa nchi yetu bila bunduki. Alikuwa na ushawishi kwa wazungu.
Jiwe ndiye aliyekuwa na uelewa mdogo kuliko marais wote waliopita ktk taifa hili. Hakuna alichokuwa anakifahamu zaidi ya ubabe. Maana kwenye maisha yake alichojifunza na kukielewa vema ni ubabe wa kuswaga ng'ombe.
Huijui vizuri kwenye upande gani?Watanzania wengi wamesoma hadi form four lakini Kingereza za mawasiliano hawakijui hasa waliosoma shule za serikali ni majanga. Wachache sana wanakijua hasa wale waliosoma English medium na private schools.
Kwahiyo kwa mada yako hii jiandae kupingwa kwa nguvu zote! But ukweli usemwe, huwezi kuelewa content kwa kiwango kizuri halafu lugha inayotumika kukupa hiyo content huijui vizuri, haya ni maajabu yanayopatikana Tanzania tu.
Kuendelea kupiga bomu montuar ni kupoteza silaha za bure.Kuna uhusiano wa moja kwa moja kati ya kuelimika na kujua kiingereza hapa nchini kwetu. Kwasabb lugha yetu ya kufundishia ni kiingereza.
Hivyo ili mtu aweze kuipata elimu kwa kiwango kikubwa lazima aifahamu vema lugha ya kiingereza maana ndiyo iliyobeba taarifa zote zinazotakiwa na mwanafunzi. Kama mwanafunzi atakuwa hajui kiingereza ni dhahiri.kwamba kuna kitu atakikosa.
Wachina, wajapani na warusi wanatumia lugha zao kufundishia ndiyo maana wao kiingereza hakina umuhimu kwenye kuelimika.
Baba wa taifa JK alikifahamu vema kiingereza ndiyo maana aliweza kukitumia kupigania Uhuru wa nchi yetu bila bunduki. Alikuwa na ushawishi kwa wazungu.
Jiwe ndiye aliyekuwa na uelewa mdogo kuliko marais wote waliopita ktk taifa hili. Hakuna alichokuwa anakifahamu zaidi ya ubabe. Maana kwenye maisha yake alichojifunza na kukielewa vema ni ubabe wa kuswaga ng'ombe.
Kijeshi inapigwa tu!! Mortually inaweza tumika km maficho ya adui!......hatuwezikudharau mortually department! labda km huna akiliKuendelea kupiga bomu montuar ni kupoteza silaha za bure.
Pambana na walio hai.