Optimistic_
JF-Expert Member
- Feb 12, 2017
- 2,347
- 1,850
Navofahamu mkuu wanamtumia kupitia WhatsApp na sio insta so ebu niweke wazi wanakuaje katika hatar??Vijana wa Makumbusho na Ununio wamei hack ili kuona kwenye private sms ni kina Nani ndio huwa wanampelekea taarifa nyeti na kumwambia hide my Id, Sasa wale Wote team hide my ID wamekwisha
Vipi yule bwana wako bado uko nae, umesikia ya Geita? jiandae hiyo kitu pia Tz ni 'makufuru'!Labda kapata Bwana,nyege zinaathiri kisaikolojia.
Navofahamu mkuu wanamtumia kupitia WhatsApp na sio insta so ebu niweke wazi wanakuaje katika hatar??
Ndo anahoji kwa kutukana ??? Hatuend hvyoKwa hiyo kwa vile huko yametokea hayo inamaana kama serikali inafanya madudu yasisemwe? Kama wapinzani wanashambuliwa na silaha za kivita Asiseme? Kama nchi inaendeshwa kidikteta asiseme? kama Kuna double standards kwenye maamuzi ya Mkulu Asiseme? kama watu wanakosa uhuru wa kuikosoa serikali Asiseme? Uhuru wa kuandamana kulingana na katiba ukipingwa Asiseme? kisa tu tuogope yasijekutokea kama ya wenzetu, c'mon man. Waliopigania uhuru walitaka wananchi tuwe na uhuru wa kuendesha mambo yetu kwa kufata Katiba ambayo sisi wenyewe tutaitunga na kuifata lakini kama sheria inavunjwa na watu ambao tumewapa mamlaka ya kusimama kwa nini Akae kimya kama anauwezo wa kuongea kwa niaba ya wengi. Muacheni afanye yale yanayomfaa kwa niaba ya nchi yake na wananchi wanyonge, muache atumie uhuru wake wa kujieleza, kuhoji nk kulingana na katiba inavyoruhusu na kulingana na haki za binaadamu.
marais wote wasichana, ambao wapo ins? Kuigana tu bila maana badirikeniKwahiyo hata Bill Gate wewe unamuona ni mwanamke tu? Acha mambo ya kizamani mkuu
Nadhani na stress zake zinachangia lakni point ni kuwa anahaki ya kuhoji na kufichua maovu ambayo yapo kama mwananchi mtiifu wa nchiNdo anahoji kwa kutukana ??? Hatuend hvyo
Acha zako. Instagram n chanzo kizuri cha taarifa mbalimabili, inategemea umefollow page gani. BTW tuambie wew unatumia mitandao gani ya kijamii ambayo iko kiume zaidiMwanaume ambaye ana app ya Instagram sijui huwa namuonaje!It's more girlishly hiyo app
Salary slipNaomba kujua username anavyotumia mange huku jf ili niweze kumfolo
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]Soon atalaunch App yake anataka misukule wake waende kwenye app yake.
Dada Mange hide my id plz[emoji23]Vijana wa Makumbusho na Ununio wamei hack ili kuona kwenye private sms ni kina Nani ndio huwa wanampelekea taarifa nyeti na kumwambia hide my Id, Sasa wale Wote team hide my ID wamekwisha
Through DM msg pia wanazituma!Navofahamu mkuu wanamtumia kupitia WhatsApp na sio insta so ebu niweke wazi wanakuaje katika hatar??
very true. Insta kumejaa vichwa maji sanaUkisoma comment za wafuasi WA mange utagundua watanzania WA
Inst wengi vichwa boga.
Hana kipya kwa sasa, hana habari hot kama zamani, sikuizi kaonekana wa kawaida kama Mh Mrema, upepo umebadilika anatamani kusifia hawezi, anabaki kuwa mshauri na kuhamasiha machafuko
Kwel lile maza linaAkili sana, linajua kuwageuza wajinga mtaji.Soon atalaunch App yake anataka misukule wake waende kwenye app yake.
Mkuu wimbo wa nampa papa wa gigy money bado unao kwenye sim yako? Hatari sana.Kwahiyo hata Bill Gate wewe unamuona ni mwanamke tu? Acha mambo ya kizamani mkuu