Kubali au kataa lakini page ya Mange Kimambi ya instagram ndio talk of the town kwa sasa

Kubali au kataa lakini page ya Mange Kimambi ya instagram ndio talk of the town kwa sasa

Vijana wa Makumbusho na Ununio wamei hack ili kuona kwenye private sms ni kina Nani ndio huwa wanampelekea taarifa nyeti na kumwambia hide my Id, Sasa wale Wote team hide my ID wamekwisha
Navofahamu mkuu wanamtumia kupitia WhatsApp na sio insta so ebu niweke wazi wanakuaje katika hatar??
 
Navofahamu mkuu wanamtumia kupitia WhatsApp na sio insta so ebu niweke wazi wanakuaje katika hatar??

Wapo wanaomtumia kwa direct sms pia ya Instagram, Sasa Kama alikuwa hafuti zile sms wameumia maana wengine walikuwa ni Watu Wakubwa tu wanaopinga juhudi za Mh.Rais
 
Screenshot_20171202-102738.png
 
Kuna picha ali-post juzi saa 2 asubuhi kwa saa za huku kwetu na alii-post kwa dakika 5 tu kisha akaifuta(kuna mwanamke mwanzake walikuwa wanaumbuana mtandaoni) nahisi ndio inaweza kuwa chanzo cha Instagram kufunga account yake au vinginevyo imekuwa hacked.

Ile picha ilikuwa ni balaa maana iliweka wazi visivyostahili kuwekwa wazi ila nadhani hasira za kujibizana na kutukanana mtandaoni zilimpelekea kumumbua mwenzake kwa kiwango kile.

Mtu sijui unakubalije kupigwa picha kama ile na binadamu mwenzako hata kama ni mpenzi wako.
 
Kwa hiyo kwa vile huko yametokea hayo inamaana kama serikali inafanya madudu yasisemwe? Kama wapinzani wanashambuliwa na silaha za kivita Asiseme? Kama nchi inaendeshwa kidikteta asiseme? kama Kuna double standards kwenye maamuzi ya Mkulu Asiseme? kama watu wanakosa uhuru wa kuikosoa serikali Asiseme? Uhuru wa kuandamana kulingana na katiba ukipingwa Asiseme? kisa tu tuogope yasijekutokea kama ya wenzetu, c'mon man. Waliopigania uhuru walitaka wananchi tuwe na uhuru wa kuendesha mambo yetu kwa kufata Katiba ambayo sisi wenyewe tutaitunga na kuifata lakini kama sheria inavunjwa na watu ambao tumewapa mamlaka ya kusimama kwa nini Akae kimya kama anauwezo wa kuongea kwa niaba ya wengi. Muacheni afanye yale yanayomfaa kwa niaba ya nchi yake na wananchi wanyonge, muache atumie uhuru wake wa kujieleza, kuhoji nk kulingana na katiba inavyoruhusu na kulingana na haki za binaadamu.
Ndo anahoji kwa kutukana ??? Hatuend hvyo
 
Ndo anahoji kwa kutukana ??? Hatuend hvyo
Nadhani na stress zake zinachangia lakni point ni kuwa anahaki ya kuhoji na kufichua maovu ambayo yapo kama mwananchi mtiifu wa nchi
 
Mwanaume ambaye ana app ya Instagram sijui huwa namuonaje!It's more girlishly hiyo app
Acha zako. Instagram n chanzo kizuri cha taarifa mbalimabili, inategemea umefollow page gani. BTW tuambie wew unatumia mitandao gani ya kijamii ambayo iko kiume zaidi
 
Hana kipya kwa sasa, hana habari hot kama zamani, sikuizi kaonekana wa kawaida kama Mh Mrema, upepo umebadilika anatamani kusifia hawezi, anabaki kuwa mshauri na kuhamasiha machafuko

Hebu tuambie instagram nani mwenye habari hot kuliko Mange ?
 
Back
Top Bottom