mwasambili
Senior Member
- Oct 28, 2013
- 151
- 77
Nimeshangaa sana hapa st joseph department ya civil engineering,,,karibu malecture wote wa civil engineering wanatoka vyuo hivyo tajwa haga juu,,na kama mjuavo hapa kwetu masomo huwa yanaisha jioni sana kimsingi wanajitahidi kwa kufundisha,,swali langu la msingi,, ni je kazi za vyuoni kwao huwa wanafanya sa ngapi?achilia mbali faculty zote za it,electrical,mechanical ambazo ni wahind tu ndio hufundisha
nawasilisha
bado wengi hamjanielewa,,namanisha wanashinda st joseph asubuhi mpaka jioni,,je wanalipwa mishahara ya serikali pasipo kufanya kazi.
Tumevamiwa jamani humu JF leo hii msomi anauliza swali kama hili ? Absolutely we are in transition era. May God protect JF
malecture au lecturers.!?, kweli wewe elimu haijakukomboa, ina maana akitoka UD au DIT kwenda kufundisha st. joseph ni tatizo, unawafaham flying lecturers wanaosafiri dunia nzima kutoa lectures kwenye different universities duniani.!? kwahiyo wewe ukaona hao wananjaa sana eehh wakati hiyo ndo system ya vyuo vikuu ndo maana ikaitwa UNIVERSITY, fungua ubongo huo