mwasambili
Senior Member
- Oct 28, 2013
- 151
- 77
Nimeshangaa sana hapa st joseph department ya civil engineering, karibu malecture wote wa civil engineering wanatoka vyuo hivyo tajwa haga juu.
Ns kama mjuavo hapa kwetu masomo huwa yanaisha jioni sana kimsingi wanajitahidi kwa kufundisha.
Swalo langu la msingi, ni je kazi za vyuoni kwao huwa wanafanya sa ngapi? achilia mbali faculty zote za it, electrical, mechanical ambazo ni wahind tu ndio hufundisha.
Nawasilisha