Kubali kuwa umri wako umesogea, wakati ukuta

Huu uzi ngoja niupige lamination nikifa huo umri utakuwa guideline, mda huu wacha niende kwa mshangazi wangu...
 
Nauliza tu kwanini watu wazima wale walio kwenye 50+ huwa wanavaa maguo mapana kupitiliza? Hivi kwani kuvaa nguo inayo ku fit isiyobana sana kuna shida gani aisee?

Unakuta mtu kavaa bonge moja la "SARAWILI" mguu mmoja zinatoka suruali mbili shida ipo wapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…