Sifi Leo
Platinum Member
- Mar 30, 2012
- 6,408
- 12,100
Kifo ni kifo tukubaliane hivyo
Nasema Raila Omoro Odinga jabali la siasa limefariki na kufariki kwake limekata roho mbele ya Binti yake wa MWISHO na mlinzi wake wa Muda MREFU. Hii ni nzuri sana na ndo inabeba tafsiri ya amefariki ao ni waziri mno.
Hayati Magufuli hakufariki mbele ya mkewe Wala mwanae hata Mmoja kwa WANAO jua siasa Mzee Odinga alikuwa waziri mkuu mwenye sifa kuliko raisi mstaafu au aliyepo madarakani ukitaka kuamini angalia yanayo endelea Kenya .
NARUDIA kuwa Rais wa nchi au waziri mkuu hakuondoi ubinadamu wa mtu baada ya kifo Cha Magufuli alitakiwa akabidhiwe kwa familia kwa watoto wa kiume walitakiwa kumkagua Baba Yao aliyepo kwenye jeneza alivyarishwa Nini?
Yawezekana msomaji wangu unielewi nafahamu mambo yanayoendelea ila niliwai kwenda kumzika mtoto wa ndugu yangu ambae ni mjeshi KIKOSI Fulani, niliumia nilipokuta mtoto anaenda kuzikwa paspo kuvalishwa nguo hata Moja nilipooji wakanijibu vibaya yaliyojiri kwa msiba ule sasani stori ila nafurah niliwajuza nje ya Gwanda zao wao ni sisi na sisi ni wao😝😂
Andiko langu limejaa uzuni ninauliza walio kuwa walinzi wa Magufuli kwa Nini hawakushuudia Magufuli akikata roho mbele ya madakitari?
Najiuliza nani alimfukuza mlinzi wa Magufuli kutoka IDARA yetu nyeti Ili hasikate roho mbele Yao?
Watanzania mjadala wa kifo Cha Magufuli tunayo haki ya kuhoji
R. I.P Raila Omoro Odinga kwangu wewe ni Rais wa Kenya