Kubali Raila Odinga hajafa,Amefariki, Magufuli Alikufa hakufariki, Odinga amefariki mbele ya Bint yake,Magufuli Alikufa mbele ya nani?

Sifi Leo

Platinum Member
Joined
Mar 30, 2012
Posts
6,408
Reaction score
12,100
Kifo ni kifo tukubaliane hivyo

Nasema Raila Omoro Odinga jabali la siasa limefariki na kufariki kwake limekata roho mbele ya Binti yake wa MWISHO na mlinzi wake wa Muda MREFU. Hii ni nzuri sana na ndo inabeba tafsiri ya amefariki ao ni waziri mno.

Hayati Magufuli hakufariki mbele ya mkewe Wala mwanae hata Mmoja kwa WANAO jua siasa Mzee Odinga alikuwa waziri mkuu mwenye sifa kuliko raisi mstaafu au aliyepo madarakani ukitaka kuamini angalia yanayo endelea Kenya .

NARUDIA kuwa Rais wa nchi au waziri mkuu hakuondoi ubinadamu wa mtu baada ya kifo Cha Magufuli alitakiwa akabidhiwe kwa familia kwa watoto wa kiume walitakiwa kumkagua Baba Yao aliyepo kwenye jeneza alivyarishwa Nini?

Yawezekana msomaji wangu unielewi nafahamu mambo yanayoendelea ila niliwai kwenda kumzika mtoto wa ndugu yangu ambae ni mjeshi KIKOSI Fulani, niliumia nilipokuta mtoto anaenda kuzikwa paspo kuvalishwa nguo hata Moja nilipooji wakanijibu vibaya yaliyojiri kwa msiba ule sasani stori ila nafurah niliwajuza nje ya Gwanda zao wao ni sisi na sisi ni wao😝😂

Andiko langu limejaa uzuni ninauliza walio kuwa walinzi wa Magufuli kwa Nini hawakushuudia Magufuli akikata roho mbele ya madakitari?

Najiuliza nani alimfukuza mlinzi wa Magufuli kutoka IDARA yetu nyeti Ili hasikate roho mbele Yao?

Watanzania mjadala wa kifo Cha Magufuli tunayo haki ya kuhoji

R. I.P Raila Omoro Odinga kwangu wewe ni Rais wa Kenya
 
Ila pamoja na yote yule mh alikufa kifo too general, yaani cha kawaida mno kiasi ambacho huwezi kudhani alikua mkuu wa nchi .

Ajaliwe kupumzika kwa amani, tunacho kijua iwe ana hatia ama la damu au uhai wa mtu haupotei bure!
Kuna namna kutakuwa na malipo.
 
Kwanini unaruka kuwa JPM alikuwa mamlaka ya nchi licha ya kuugua? Kama walitaka auguzwe kikawaida na familia yake bila vyombo kuchukua hatamu walipaswa wamuchishe urais kwasababu za afya, nikuulize wewe unadhani JPM na wafuasi wake wangekubali hilo litokee? Odinga si mamlaka ya kenya, kuugua kwake hakuwezi kuwa chini ya vyombo vya kenya, kama unataka fananisha kuugua na kifo cha Odinga basi ungelifananisha tukio hilo na lile la hayati baba wa taifa na utaona mfanano karibu kwa kila kitu. Baba wa taifa alienda UK kwa matibabu, na alikufa akiwa na Madaraka au Makongoro, na mwili wake uliridui nchini kwa heshima zote za kiserikali.

Mambo ya uongo hayasaidii taifa.
 

..vipi kuhusu BEN SAANANE?
 
Hii inakusaidia nini?
 
Kama Magufuli alivyokufa , ndivyo atakavyokufa MamaSamia2025
 
Kifo ambacho sio kawaida kikoje?
 
Vipi kuhusu ben saa nane? Malipo ya mauaji ni hapahapa duniani
 
Magu alikufa mbele ya mabeyo diwani na siro
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…