Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
....ni wale wanaoamin kufa sio sasa!!Mpendwa, ukianza kuwaza kufa basi hata chooni hutaenda maana unaweza ukateleza chooni na ukafa. Waliofanikiwa ni wale wanaoamini kwamba kufa hakupo.
mkuu umenigusa kwa maneno matamu haya
duh!Kuna kufa ukumbuke hilo