Kubali uteseke muda mfupi leo ili uishi maisha marefu na ya starehe kesho

Wewe je unafanya kama ulivyoandika au ni kama baba paroko anaeongoza misa na kusema fata maneno yangu si matendo/vitendo kwa waumini wake..
 
Asante kwa wohisia mzuri maana dunia ya sasa kumpata MTU anayekupa ukwel kwenye maisha ni wachache sana. Biblia inasema " Heri mtu yule ambaye kinywa chake huwabarik wenzake na kuwaombea". Ubarikiwe na Bwana
 
Pole sana utashangaa cku zinakwenda na umri unakuja kwa kasi Mara uzee huo na haujafa. Na watu kama nyie Mungu huwaacha ili mje kushuhudia maisha ya wenzenu sasa cjui aibu itabak kwa nan?? " usipouchosha mwili ujanani bas ujue utauchosha mwil UZEENI
 
..............................
 
Back
Top Bottom