Kubambikiwa fine ya gari ambayo huifahamu. Ajabu imetolewa mkoa ambao gari haijawahi kufika


Nchi isingekuwa na lundo la Polisi wapumbavu, badala ya kukupiga fine wangeshikilia Gari lako, na kuanza uchunguzi kubaini kama kuna plate number mbili zikitumia namba moja.
You should also investigate this, because the car in Dodoma could be used in criminal acts, halafu unakamatwa wewe.
Polisi Tz rubbish
 
Ilinitokea mimi lakini ilikuwa na ukweli; Gari nilipeleka garage, Fundi katoka nalo kupiga misele, akakamatwa overspeeding salender bridge, na kupigwa fine. Hakuniambia, nilikuja kukamatwa mimi fine ikiwa 60k. Nilikataa katakata, baadae likaja Wazo la kumpiga Fundi, ndio akakiri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…