Kubana kwa matumizi kungeanza na Rais mwenyewe. Haiwezekani yeye asafiri na wengine wasisafiri. Aongoze kwa vitendo, si double standard

Kubana kwa matumizi kungeanza na Rais mwenyewe. Haiwezekani yeye asafiri na wengine wasisafiri. Aongoze kwa vitendo, si double standard

Corticopontine

JF-Expert Member
Joined
Sep 20, 2019
Posts
666
Reaction score
1,277
Mheshimiwa Rais Safari zake zimekuwa nyingi sana tujifunze kwa wenzetu walioendelea viongozi wao hawasafiri hovyohovyo safari zao huwa ni za kimkakati Sasa Rais wetu anaposafiri safiri kila Mara hasara ni nyingi kuliko faida

Just imagine Rais ana mabalozi ana mawaziri wa wizara husika yeye akisafiri tu anaiacha nchi kwenye ukiwa mkubwa Kuna wakati inabidi atulie ofisini hata kwa miezi kadhaa hadi mwaka afuatilie matumizi sahihi ya hela za walipa kodi wake ambazo kiuhalisia ndizo nyng kuliko anazozifuata, kule

Utawaambiaje watumishi walio chini yako kubana matumizi ili Hali wewe kiongozi mkuu kila Mara uko angani Rais Samia unakosea Sana sema tukikuambia sasa hata hautusikilizi kaa utafakari ufuatilie mambo makubwa ya nchi yako safari zinakupotezea concentrations na focus ya kufanya vitu please our president kaa chini tafakari kama Kuna umuhimu wa ww kwenda kila sehemu ulizia hata kwa mfalme wa Omani ni Mara ngapi amesafiri kwa mwaka huu nn maana ya kuwa na mabalozi? Kwanini usifanye delegation of power kwa mabalozi?

Kuna tishio la baa la njaa unakaa unatafakari hii Hali? mheshimiwa mambo magumu fikiria Mara mbili mbili
 
Back
Top Bottom