Haishauriwi kuteremka mteremkoni na gari likiwa Neutral....unauwa gia box kwa gari ambazo ni auto..
Vile vile unaweza kufa...kwa sababu gari linakosa kitu kinaitwa engine braking....
Kama mteremko ni mkali weka gear lever kwenue Low gear na si neutral ili upate engine braking......
Kwenye mteremko engine brakingg inasaidiana na brake za kawaida kulizuia gari...
Gari lako likiwa neutral ina maana utakuwa unategemea break za kwenye magurudumu kwa 100% kitu ambacho ni hatari dana....disc zinaweza ku.. overheat na kuplekea mifumo ya brake kufeli...
Hapo tutakuimbia buriani kwa kubana vimafuta ambavyo havijai kibakuli
Sent using
Jamii Forums mobile app