Wakuu naomba kuliza hili swali, jana nimekaa na dereva mmoja alinishauri nisije nikashuka mlima wowote na nikajaribu kushuka free bila kukanyanga mafuta kwa dhumuni ya kubana mafuta ,ananiambia nina uwa gari je wakuu hili jambo ni kweli? Naomba ushauri wenu nashukuru.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app