Nna tabia ya kubana mkojo for so long mpk nifike om ndo nikojoe,ss leo nimebana mpk nikasikia maumivu kwny kiuno na wakat mwingine nikibana mpk kibofu kinauma na nikikojoa machoz kwa mbaaaali hunitoka..hii ni nn hasa?je kuna connection yoyote na maswala ya uzaz?ushaur wenu tafadhal!