Kubana mkojo!

Kubana mkojo!

Redrose20

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2013
Posts
213
Reaction score
35
Nna tabia ya kubana mkojo for so long mpk nifike om ndo nikojoe,ss leo nimebana mpk nikasikia maumivu kwny kiuno na wakat mwingine nikibana mpk kibofu kinauma na nikikojoa machoz kwa mbaaaali hunitoka..hii ni nn hasa?je kuna connection yoyote na maswala ya uzaz?ushaur wenu tafadhal!
 
Unauliza hilo ni tatizo gani? Hilo ni tatizo la ujinga! Mkojo unataka kutoka kama uchafu wewe unauzuia mpaka kibofu kinataka kupasuka?
 
Unauliza hilo ni tatizo gani? Hilo ni tatizo la ujinga! Mkojo unataka kutoka kama uchafu wewe unauzuia mpaka kibofu kinataka kupasuka?

asante mkuu kwa ushaur.ila umecomment kwa hasira!
 
Na kwanini ubane mkojo, hujui unajitafutia matatizo
Hebu kakojoe bana
 
Inabd uwe hvyo kwa kinachoingia co kinachotoka kiache kitoke
 
Si nzuri kwa afya. Jitahidi sana kwenda toi endapo umebana.
 
Kubana mkojo ni kulegeza misuli ya kibofu ambacho ukishaanza kuzeeka kitakuletea matatizo
 
Nadhani unacheza na sphincter muscles hujajua kama unaweza kupata matatizo baadae zikilegea hata mkojo mdogo huyaweza kuuzuia take care
 
hivi kuna madhara gan endapo mtu atakuwa anabana mkojo mara kwa mara kwa muda mrefu bila ya kukojoa?
 
hivi kuna madhara gan endapo mtu atakuwa anabana mkojo mara kwa mara kwa muda mrefu bila ya kukojoa?
Kuna madhara kubana mkojo itafika wakati kibofu chako cha mkojo klitashindwa kuzuia mkojo matokeo yake utakuwa una jikojolea mahali popote pale jihadhari sana na huo mchezo wa kubana mkojo shemagoto
 
Back
Top Bottom