Nna tabia ya kubana mkojo for so long mpk nifike om ndo nikojoe,ss leo nimebana mpk nikasikia maumivu kwny kiuno na wakat mwingine nikibana mpk kibofu kinauma na nikikojoa machoz kwa mbaaaali hunitoka..hii ni nn hasa?je kuna connection yoyote na maswala ya uzaz?ushaur wenu tafadhal!
Unauliza hilo ni tatizo gani? Hilo ni tatizo la ujinga! Mkojo unataka kutoka kama uchafu wewe unauzuia mpaka kibofu kinataka kupasuka?
Usibane mkojo sio vizur kiafya
Kuna madhara kubana mkojo itafika wakati kibofu chako cha mkojo klitashindwa kuzuia mkojo matokeo yake utakuwa una jikojolea mahali popote pale jihadhari sana na huo mchezo wa kubana mkojo shemagotohivi kuna madhara gan endapo mtu atakuwa anabana mkojo mara kwa mara kwa muda mrefu bila ya kukojoa?