kubana uume baada ya tendo

kubana uume baada ya tendo

g4cool

JF-Expert Member
Joined
Oct 18, 2012
Posts
429
Reaction score
206
Ndugu wadau naomba mnisaidie kwa hili, baadhi yetu tunamtindo wa kumwaga nje ili kujiepusha kuumpa huyo mwenzi wangu mimba ambayo hatukuitarajia, sasa wakati nakaribia kupiz huwa ninatoa mashine nje na kuibana kichwa chake ili kuzuia mbegu zisimwagie, je hiyo ina madhara yeyote katika mishipa ya uume???????????
 
:rockon::rockon::rockon::rockon::rockon: Wacha weeee , Haina shobo hiyooooo .......
 
kweli kaka?? naogopa kitu kisije kikaleta shida
 
haina madhara yoyote.....tena baadhi ya watu hupenda kufanya hivyo mara kwa mara kuzuia wasipiz fasta........ungekuwa umeweka hii thread kwa JF Doctor, ningefunguka zaidi
 
haina madhara yoyote.....tena baadhi ya watu hupenda kufanya hivyo mara kwa mara kuzuia wasipiz fasta........ungekuwa umeweka hii thread kwa JF Doctor, ningefunguka zaidi

Mbona hapa ni jf doctor kamanda?????????????????????????/ funguka tu
 
Hongera yako bana kwa kuweza kubana hiyo kitu isitoke wakati imeshajiachia huko ndani,mi siwezi kabisa,hebu ni pm unipe hako kautaalamu unafanyaje,mie huwa naonaga bora niache tu mpaka zile siku nzuri ndio nafanya.
 
Anyway,sina hakika sana,ila kuna kitu kinaitwa retrograde ejaculation kinaweza kutokea.Retrograde ejaculation ni wakati ambapo wakati wa kufuga goli,badala ya mbegu kutoka nje,zinarudi kuingia kwenye kibofu cha mkojo.Kitalamu tatizo ambalo unaweza kupata kutokana na retrograde ejaculation ni uwezekano wa mbegu kutokufika nje (kuingia kwa mpenzio),kwa sasa inaweza kuwa sio tatizo sana kwa kuwa ndilo kusudi lako.Lakini je,ikitokea hivyo wakati sasa ndo mnahitaji kupata mtoto itakuwaje??

On the othe hand,kitendo hicho sio njia sahihi ya kuzuia mimba.Kuna kitu kinaitwa Pre-ejaculation ambacho wewe inawezekana kukitambui au hukijali kabisa.Kuna wadada wengi wamebeba mimba wakati waboy wao walipotumia njia hiyo.Nakushauri ujaribu kutumia njia nyingine ya uhakika kuliko hiyo,vinginevyo utakuja uvunje ndoa/mahusiano yako kutokana na makosa yako mwenyewe!
 
kuna kitu kinaitwa multi organism,that u may reach organism bila ejaculation ili kuendelea kupata hamu ya kuendeleza chezo; style yako ya kubana kichwa sio nzur;kuna msuli mmoja unaitwa PC muscle upo nyuma ya pumpu,ule unatakiwa uwe strong kiasi cha kuzuia bao kutoka wakati unafika organism kaka,kuna mazoez ya kuimarisha msur huo,try to google bro
 
yalaaaaaaaaaaaaaa 😛ound:

kumbe kuna vi-organisms kwenye ejaculation, tena kuna multi-organisms :nono::nono:

aisee.... :nono: :nono::nono::A S confused:
 
yalaaaaaaaaaaaaaa 😛ound:

kumbe kuna vi-organisms kwenye ejaculation, tena kuna multi-organisms :nono::nono:

aisee.... :nono: :nono::nono::A S confused:

Mkuu hata mimi bado natafakari hii kitu... maana invyooneka ni kama jamaa ana uhakika na alichosema,kwa kuwa organism imeonekana zaidi ya mara moja.Hii ina maana hajakosea!
 
yalaaaaaaaaaaaaaa 😛ound:

kumbe kuna vi-organisms kwenye ejaculation, tena kuna multi-organisms :nono::nono:

aisee.... :nono: :nono::nono::A S confused:

Duuuuh! Nimecheka jamani! Loooolest!
 
Ha ha ha ha,organism
yalaaaaaaaaaaaaaa 😛ound:

kumbe kuna vi-organisms kwenye ejaculation, tena kuna multi-organisms :nono::nono:

aisee.... :nono: :nono::nono::A S confused:
 
We endelea kubana mwisho utakuja kuharibu ubongo wa chini.
 
SIO Docta lakini kwa wadau wengi ambao tumekuwa tukizunbgumzia love affairs wanasema, ni hatari kwani kuna uwezekano mkubwa wa kupasuka kwa mirija miembamba ya uume kutokana na pressure kubwa pale ambapo mbegu zinatoka hasa zoezi hili likifanyika mara kwa mara.
Pili kuna side effect nyingine kisaikolojia ambayo hupelekea kutumia mkukuta huo mpaka ikafikia ndo unajisikia vizuri badala ya kukojolea ndani hii hutoke after long use of this practise
So be careful man!!!
 
Nilikua nafanya mchezo kama huo wakukojolea nje na shemeji yenu kukwepa sababu kama zako ila kuna cku yeye alikua hajafka bwana ile mimi nashusha mzigo nichomoe wacha akikamate kiuno mbona zilibaki humo humo na mpaka natiririka hapa mtoto ana miez mi4 saizi ka baby girl copy na master
 
Back
Top Bottom