kinywanyuku
JF-Expert Member
- Jul 13, 2015
- 3,746
- 2,924
Wadau wenye maduka kutokana na hali ngumu ya kiuchumi imeibuka tabia ya wateja kupenda kubandika bidhaa dukani yaani kulipia kidogo kidogo mpka amalize,sasa najiuliza mfano bidhaa nauza cash elfu 10 akisema anabandika nitamruhusu abandike kwa elfu 10 au niongeze kidogo iwe elfu 15?maana unaweza kuta mteja anachukua muda kumaliza na bidhaa ukauza ukienda kuifuata chimbo unaikosa mnaishia kugombana