bigmind JF-Expert Member Joined Oct 28, 2015 Posts 12,457 Reaction score 12,689 May 28, 2016 #1 Jamani ni kama mwezi sasa nabanja. Sikohoi ila ninabanja nini tiba yake makohozi mazito siyapendi aisei..!
Jamani ni kama mwezi sasa nabanja. Sikohoi ila ninabanja nini tiba yake makohozi mazito siyapendi aisei..!
Granta JF-Expert Member Joined Mar 21, 2014 Posts 5,016 Reaction score 6,310 May 28, 2016 #2 Fanya mazoezi ya kukimbia asubuhi na jioni, ule m-banjo ambao ungebanja kidogo kidogo masaa mengi utabanja kwa muda mfupi tu thereafter utarelax hata siku nzima bila kubanja
Fanya mazoezi ya kukimbia asubuhi na jioni, ule m-banjo ambao ungebanja kidogo kidogo masaa mengi utabanja kwa muda mfupi tu thereafter utarelax hata siku nzima bila kubanja
Mbwa dume JF-Expert Member Joined Jan 15, 2014 Posts 5,934 Reaction score 10,206 May 28, 2016 #3 Jaribu kusukutua maji ya betri kila siku asubuhi na jioni!
bigmind JF-Expert Member Joined Oct 28, 2015 Posts 12,457 Reaction score 12,689 May 28, 2016 Thread starter #4 Mbwa dume said: Jaribu kusukutua maji ya betri kila siku asubuhi na jioni! Click to expand... We jamaa uko serious ama???
Mbwa dume said: Jaribu kusukutua maji ya betri kila siku asubuhi na jioni! Click to expand... We jamaa uko serious ama???
Mlaleo JF-Expert Member Joined Oct 11, 2011 Posts 14,809 Reaction score 11,825 May 28, 2016 #5 Hiyo heading nilijua msimu wa kubanjua wake za watu umewadia... dah kumbe Kubanja... wacha niondoke... Mleta Mada Nenda Hospital usiambukize watu TB
Hiyo heading nilijua msimu wa kubanjua wake za watu umewadia... dah kumbe Kubanja... wacha niondoke... Mleta Mada Nenda Hospital usiambukize watu TB
lukesam JF-Expert Member Joined Feb 23, 2015 Posts 12,661 Reaction score 26,457 May 28, 2016 #6 Mlaleo said: Hiyo heading nilijua msimu wa kubanjua wake za watu umewadia... dah kumbe Kubanja... wacha niondoke... Mleta Mada Nenda Hospital usiambukize watu TB Click to expand... [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hii ndio Jf
Mlaleo said: Hiyo heading nilijua msimu wa kubanjua wake za watu umewadia... dah kumbe Kubanja... wacha niondoke... Mleta Mada Nenda Hospital usiambukize watu TB Click to expand... [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hii ndio Jf
C CHILD OF GOD Member Joined Nov 23, 2015 Posts 54 Reaction score 26 May 29, 2016 #7 nenda hospitali kamwone daktari.