Kubanja huu msimu wake kwa watu Dar

Kubanja huu msimu wake kwa watu Dar

bigmind

JF-Expert Member
Joined
Oct 28, 2015
Posts
12,457
Reaction score
12,689
Jamani ni kama mwezi sasa nabanja. Sikohoi ila ninabanja nini tiba yake makohozi mazito siyapendi aisei..!
 
Fanya mazoezi ya kukimbia asubuhi na jioni, ule m-banjo ambao ungebanja kidogo kidogo masaa mengi utabanja kwa muda mfupi tu thereafter utarelax hata siku nzima bila kubanja
 
Jaribu kusukutua maji ya betri kila siku asubuhi na jioni!
 
Hiyo heading nilijua msimu wa kubanjua wake za watu umewadia... dah kumbe Kubanja... wacha niondoke... Mleta Mada Nenda Hospital usiambukize watu TB
 
Hiyo heading nilijua msimu wa kubanjua wake za watu umewadia... dah kumbe Kubanja... wacha niondoke... Mleta Mada Nenda Hospital usiambukize watu TB
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hii ndio Jf
 
Back
Top Bottom