Kubanwa mkojo kati kati ya safari

Kubanwa mkojo kati kati ya safari

omarion5

JF-Expert Member
Joined
Oct 14, 2017
Posts
5,206
Reaction score
17,683
Wakuu,

KUBANWA mkojo ni hatari sana hasa pale unapo banwa na sehemu ya kuutoa hakuna...!!

Binasfi natoka nzangu mkoani naingia dar nimefika mikumi wese likanibana dereva ndo Kwanzaa anaingiza gear..!!

Mpka kufika ubungo Kibofu hakina hamu ya safari..

Share your experince..
 
Inasikitisha sana pale ninapo ona nyuzi kama hizi, then tunasema jf is the home of great thinkers.....[emoji45] [emoji45]
Ohhhppppssss.... God make mercy...!!
 
nnya ndiyo soo....mimi niliwahi kula food poison....tumbo la kuhara likanishika ..nilikuwa natoka Mbeya..nilitaka kushuka Mafinga na kuacha mizigo yangu potelea mbali....bahati gari lilisimama baada ya nusu saa..lakini macho yalishanitoka na jasho kibao
 
Hahaha pole mkuu
 
Back
Top Bottom