Jee umeshapima UTI kama bado nenda kapime haraka na kupata ushauri wa daktari.Wanajf nina tatizo la kubanwa na mkojo lakini nikienda kukojoa nakojoa mkojo kidogo sana tofauti na jinsi mtu unavyotegemea kwa kuwa umebanwa. Sijui ni tatizo na kama ni tatizo nini tiba yake.
Wanajf nina tatizo la kubanwa na mkojo lakini nikienda kukojoa nakojoa mkojo kidogo sana tofauti na jinsi mtu unavyotegemea kwa kuwa umebanwa. Sijui ni tatizo na kama ni tatizo nini tiba yake.