Kubanwa na haja ndogo

Kubanwa na haja ndogo

Lwegobela

Member
Joined
Aug 20, 2013
Posts
11
Reaction score
2
Wanajf nina tatizo la kubanwa na mkojo lakini nikienda kukojoa nakojoa mkojo kidogo sana tofauti na jinsi mtu unavyotegemea kwa kuwa umebanwa.

Sijui ni tatizo na kama ni tatizo nini tiba yake.
 
Wanajf nina tatizo la kubanwa na mkojo lakini nikienda kukojoa nakojoa mkojo kidogo sana tofauti na jinsi mtu unavyotegemea kwa kuwa umebanwa. Sijui ni tatizo na kama ni tatizo nini tiba yake.
Jee umeshapima UTI kama bado nenda kapime haraka na kupata ushauri wa daktari.
 
Wanajf nina tatizo la kubanwa na mkojo lakini nikienda kukojoa nakojoa mkojo kidogo sana tofauti na jinsi mtu unavyotegemea kwa kuwa umebanwa. Sijui ni tatizo na kama ni tatizo nini tiba yake.

Hivi issue ndogo ndogo kama hii uwezi kuitafutia ufumbuzi hadi ulete hapa JF?
 
Una umri gani? jinsi gani? wenye umri uliokwenda kidogo na hupatwa na tatizo la tezi la kiume yaani BPH. hii ni kwa wanaume tu.
 
Back
Top Bottom