Kubanwa na kiu sana

Kubanwa na kiu sana

Nyanya mbichi

JF-Expert Member
Joined
Nov 10, 2011
Posts
3,716
Reaction score
2,218
Nimekua na tatizo sana na kusumbuliwa na kiu sana imefikia hatua nakunywa lita 4-4.05 kwa siku, sina kazi ngumu niifanyayo .

Miezi kama 4-5 nyuma nilikua nachemsha maji yakipoa kidogo nakunywa na uvuguvugu wake ili kupunguza tumbo.

Nilifanya mazoezi mapema asubuh ya viungo na kuzunguka uwanja baada ya muda niliacha

Sasa nashindwa kuelewa niliacha kabisa kunywa maji ya baridi ila kiu ya sasa huwa haiishi kabisa hivyo naonja onja kidogo ingawa cpendi ninywe maji ya baridi.

Kuna wakati na tia ndimu kwenye maji ya uvuguuvugu ila kiu ikizidi huwa naacha?

Ila sasa nakunywa maji meeengi nakojoa kidogo.

Mfano;leo nimaeamka asubuhi nimekata lita moja ya maji ya uvuguuvugu sikula kitu tena mchana nikala wali maini nikagonga lita moja na nusu ya maji baridi ila sasa ninakiu kinyama na ninaamini kabla ya saa 3 nitakata lita 2 za maji!.

Nikifanya jogging kidogo natamani kuacha nabanwa na kiu mno ingawa najitahidi nimalize muda niliojipangia.

Msaada wakuu.
 
Nimekua na tatizo sana na kusumbuliwa na kiu sana imefikia hatua nakunywa lita 4-4.05 kwa siku, sina kazi ngumu niifanyayo .

miezi kama 4-5 nyuma nilikua nachemsha maji yakipoa kidogo nakunywa na uvuguvugu wake ili kupunguza tumbo.

Nilifanya mazoezi mapema asubuh ya viungo na kuzunguka uwanja baada ya muda niliacha

Sasa nashindwa kuelewa niliacha kabisa kunywa maji ya baridi ila kiu ya sasa huwa haiishi kabisa hivyo naonja onja kidogo ingawa cpendi ninywe maji ya baridi.

kuna wakati na tia ndimu kwenye maji ya uvuguuvugu ila kiu ikizidi huwa naacha?

Ila sasa nakunywa maji meeengi nakojoa kidogo.

mfano;leo nimaeamka asubuhi nimekata lita moja ya maji ya uvuguuvugu sikula kitu tena mchana nikala wali maini nikagonga lita moja na nusu ya maji baridi ila sasa ninakiu kinyama na ninaamini kabla ya saa 3 nitakata lita 2 za maji!.

nikifanya jogging kidogo natamani kuacha nabanwa na kiu mno ingawa najitahidi nimalize muda niliojipangia.

msaada wakuu.

Mkuu hiyo ni moja wapo ya dalili za ugonjwa wa kisukari, nenda kachukuliwe vipimo!
 
Kaka kisukari hicho.Kesho asubuhi usile au kunywa chochote nenda Hospital wakupime sugar level.Ukikutwa nacho usiogope. Fuata ushauri wa doctor tu.
 
Tatizo limeanza lini, unahisi kizunguzungu au kutoona vizuri..? una kua unajisikia njaa pia..?
 
mungu wangu

Ni dalili mojawapo ya kisukari hiyo...lakini si lazima ukiwa na kiu hivyo basi ni kisukari. Tafadhali nenda kamuone daktari...na upime sukari kwenye damu. Je, unakojoa pia mara kwa mara?
 
Kaka sukari hiyo... ila nitafute private nikipe namba kna mtu atakusaidia... promise
 
normal blood sugar ni 3-6 mmol/l na hiyo ni dalili ya kisukali wahi ukapime sugar
 
Back
Top Bottom