Sophist
Platinum Member
- Mar 26, 2009
- 4,486
- 3,408
Ndugu wote,
Habari kuu ya gazeti la Mwananchi la Jumatano Februari 8/2012 inasema kuwa mojawapo ya vyanzo vya ugumba kwa wanaume ni kubeba laptop. Habari husika inazingatia matokeo ya utafiti uliofanywa na watallamu wa tiba/afya ya uzazi, Muhimbili National Hospital. Tunaomba wanaofahamu watufafanulie uhusiano wa kiufundi/kisayansi kati ya kubeba laptop na ugumba kwa wanaume.
Tafadhali tujuze