Kubeba Nauli Kamili Nayo Ni Tatizo

Kubeba Nauli Kamili Nayo Ni Tatizo

Ambiele Kiviele

JF-Expert Member
Joined
Dec 29, 2014
Posts
15,267
Reaction score
29,917
KUBEBA NAULI KAMILI NAYO NI SHIDA:

Yani nimepanda daladala kondakta mmoja akaingia kwenye gari amevaa suti za blue za daladala na miwani

Kisha akakusanya pesa gari zima alafu akakaa siti ya nyuma baade kondakta mwingine akaanza kukusanya pesa watu wakalalamika na kusema tayari tumelipa na kumuonyesha tuliemlipa.

Kondakta akacheka na kusema huyo tuliemlipa ni kipofu na alikuwa anaomba msaada..!!* [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]


Hapa Ndio Utakapo Jua kuwa..................
 
Back
Top Bottom