Kubebana ni kitu gani?

Abtali mwerevu

JF-Expert Member
Joined
May 5, 2013
Posts
665
Reaction score
515
kuna kitu kinaitwa kubeba yaani 1st year anashea chumba na mtu wa 2nd au 3rd...naomba nihabarishwe jamani hiki kitu kinaruhusiwa na zip faida na hasara zake!
 
Hicho kitu hakiruhusiwi ila ni kibishi tu maisha yanaenda

Faida zake ni kupunguza gharama kwa aliyebebwa,maana anakuwa amekosa room hivyo badala ya kwenda kupanga chumba (ambapo obviously ni expensive kwa maisha ya mwanafunzi anayetegemea boom pekee) anakuwa analipa ile fee ya room nusu na mbebaji nusu

Pia inaongeza ushirikiano,mshikamano na undugu mpya.Mara nyingi mtu mkibebana anakuwa kama kaka yako mdogo wako hivyo unapanua wigo wa marafiki na ndugu

Hasara zake ni kuishi kwa kujibana,kitanda kimoja watu wawili,chumba kimoja,watu wanane badala ya wanne,hivyo kuna hatari ya kuambukizana magonjwa hasa kwa njia ya hewa

Ni kinyume cha sheria za vyuo vingi

Wengine watakuja kuongezea ,but kwangu mimi faida za kubebana zinazidi hasara zake
 
Kubeba si lazima, nimekaa rum moja na wadau ambao hawajataka kubeba na hawakubeba. Ni maamuzi yako tu!

sawa, lakini sio vizuri kumuacha mwanafunz mwenzio alale kwny meza, kisa mtu kaamua ataki kubeba, huwa nawa chukulia wabinafsi wasiotaka kubeba wenzao!
 
ukipata wa kubeba mbebe..maisha ya chuo ni kusaidiana...huez jua utaembeba atakusaidia nn huko mbelen..ila msitofautiane tabia..na muwe wawazi wa mnavovipenda na mcvovipenda kabla hamjakubaliana kubebana
 
kuna kitu kinaitwa kubeba yaani 1st year anashea chumba na mtu wa 2nd au 3rd...naomba nihabarishwe jamani hiki kitu kinaruhusiwa na zip faida na hasara zake!
akiruhusiwi na ni kosa kisheria na hakina faida yoyote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…