Abtali mwerevu
JF-Expert Member
- May 5, 2013
- 665
- 515
kuna kitu kinaitwa kubeba yaani 1st year anashea chumba na mtu wa 2nd au 3rd...naomba nihabarishwe jamani hiki kitu kinaruhusiwa na zip faida na hasara zake!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kuna kitu kinaitwa kubeba yaani 1st year anashea chumba na mtu wa 2nd au 3rd...naomba nihabarishwe jamani hiki kitu kinaruhusiwa na zip faida na hasara zake!
ww pale utake usitake utabeba tu, ndo udsm iyo
Kubeba si lazima, nimekaa rum moja na wadau ambao hawajataka kubeba na hawakubeba. Ni maamuzi yako tu!
acha uongo wewe...kubebana sio lazima na ni kosa kisheria...plus hasara zake ni nyingi sana......mwisho wa siku muambukizane magonjwa bure...ww pale utake usitake utabeba tu, ndo udsm iyo
akiruhusiwi na ni kosa kisheria na hakina faida yoyotekuna kitu kinaitwa kubeba yaani 1st year anashea chumba na mtu wa 2nd au 3rd...naomba nihabarishwe jamani hiki kitu kinaruhusiwa na zip faida na hasara zake!