Solarpanel
JF-Expert Member
- Oct 9, 2012
- 235
- 38
Habarini madocta wote na wenye ujuzi,naomba kujuzwa kuhusu dhana hii ya kubembenda,ni nini hasa,sambamba na hilo nimesikia mahali wakisema wazazi wenye mtoto mdogo aliezaliwa wanapojamiiana huweza kumfanya mtoto wao asikue kwa haraka ama kutambaa na kutembee je hyo ni kweli?na hivyo inashauriwa nini?
Asanteni