Kubemenda

Kubemenda

Solarpanel

JF-Expert Member
Joined
Oct 9, 2012
Posts
235
Reaction score
38
Habarini madocta wote na wenye ujuzi,naomba kujuzwa kuhusu dhana hii ya kubembenda,ni nini hasa,sambamba na hilo nimesikia mahali wakisema wazazi wenye mtoto mdogo aliezaliwa wanapojamiiana huweza kumfanya mtoto wao asikue kwa haraka ama kutambaa na kutembee je hyo ni kweli?na hivyo inashauriwa nini?
Asanteni
 
Habarini madocta wote na wenye ujuzi,naomba kujuzwa kuhusu dhana hii ya kubembenda,ni nini hasa,sambamba na hilo nimesikia mahali wakisema wazazi wenye mtoto mdogo aliezaliwa wanapojamiiana huweza kumfanya mtoto wao asikue kwa haraka ama kutambaa na kutembee je hyo ni kweli?na hivyo inashauriwa nini?
Asanteni

Kwa kifupi ni kumjima mtoto mchanga haki yake ya ukuaji mzuri, iwe kwa namna moja ama nyingine!!!!
 
makuzi mabovu ya mtoto kutokana na uzembe hasa wa mama.
Mama kumnyonyesha mtoto baada ya tendo la ndoa bila kujikosha.
Mengine wataongezea.
 
nakumbuka niliwahi kumuuliza dr. shafiq hili swali alinicheka sana!
 
Re: kubemenda.
Neno kubemenda lilitumika hasa wakati wa enzi za mabibi zetu na walifanya hivyo ili kuepuka mimba za karibu karibu hasa mama anapotoka kujifungua ili aweze kumlea mtoto vizuri na kwa ukaribu zaidi kuliko akibeba mimba mapema wakati mtoto bado mdogo atashindwa kumtunza. hakuna ukweli wowote kuwa ni uchafu wa maziwa ya mama kuingiliwa na shahawa hiyo science haipo. Mtoto anashindwa kukua vizuri kwa ajili ya kukosa chakula bora kwa kuwa mama ni mjamzito hana muda wa kuwa na mtoto kwa ukaribu labda kwa kusumbuliwa na mimba au uvivu
 
Kwa dhana hiyo wazaz wenye mtoto mdogo huruhusiwa kujamiana baada ya mda gn?naomba kueleweshwa hp.
 
anaruhusiwa kusex baada ya miez miwili toka kujifungua (kama eneo la tukio a.k.a MAKAO MAKUU DODOMA kupo fresh) na kuhusu kabla ya kujifubgua anaweza kusex mpaka masaa kadhaa kabla ya kujifungua hakuna tatizo lolote
 
Sio kitu kizuri

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Hakuna kitu kama hicho kwenye sayansi
 
Back
Top Bottom