Billie
JF-Expert Member
- Aug 13, 2011
- 13,588
- 22,752
Kuna kauli huwa naisikia mtaani eti mtoto wa fulan kabemendwa.ETI HII HALI IPO AU NA INAKUAJE kama ipo? Sana sana husema pale mtoto anakuwa na hali ya kudhoofika wakimanisha mama na baba yake wamefanya mapenzi mapema baada ya kujifungua au kapata mimba kabla huyo mtoto hajakuwa yaani nashindwa kuileza vizuri kwa kuwa sina maarifa nayo.NIJUZENI PLEASE KUBEMENDWA NDO NINI MAANA KUNA WENGINE HUWATUKANA WENZAO KWA KUSEMA SURA KAMA UMEBEMENDWA.