Johnny Sack
JF-Expert Member
- Jan 21, 2017
- 8,984
- 19,288
Kwa ufahamisho Kubenea gazeti lake ni Mwanahalisi sio Raia Mwema acha kupotoshaBaada ya Gazeti la Raia Mwema ambalo moja ya wamiliki na waandishi wake ni Said Kubenea kuandika
Wizi Mkubwa Awamu ya 5,
Wapo watu hawakufurahishwa na habari hiyo na kumchafua kiongozi huyo na ku edit vichwa vya habari, ambapo amesema atawatafuatilia na kuwafungulia mashtaka
View attachment 2189620
View attachment 2189621
View attachment 2189622
Baada ya Mwanahalisi kufungiwa alienda kwa Raia MwemaKwa ufahamisho Kubenea gazeti lake ni Mwanahalisi sio Raia Mwema acha kupotosha
Tuliza kichwa utaelewaKwa ufahamisho Kubenea gazeti lake ni Mwanahalisi sio Raia Mwema acha kupotosha
No,hao ni vijana Sukuma Gang wame edit gazeti kumchafua Kubenea baada ya kuandika Wizi Mkubwa awamu ya 5Kwa hiyo kuna gazeti la Raia Mwema la jana lilitoka na hiyo habari kumuhusu Kubenea?
Nilichoelewa hapo ni kwamba jana zilitoka copy mbili za Raia Mwema, moja ya kumchafua na nyingine ya kuripoti huo wizi wa awamu ya 5.